Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Hongereni ........... Lakini kushinda Trophy mbele ya vijana wa PEP ni sawa na kusubiri Meli Airport hahahahahahahaha.
Nani kazuia ruksa hata kumfananisha na big popa
"We'll try out best in the final but as you know it's against City and I believe that Man City is the best team in Europe at the moment. So, it'll be very very difficult but of course we'll try" - Maurizio Sarri
Uyo dully Jr ni shabiki wa Arsenal hawezi kuwa shabiki wa timu bora kama Chelsea..DullyJr
Hongereni sana kwa kuingia final,W is W nawaombeni mchukue mjifariji
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe apo OT jiandae..Nani kazuia ruksa hata kumfananisha na big popa
Baada ya kuifungà timu yenye genge la majeruhi spurs wakiwa timilifu wamekufumua back to back
Tukiwa na mapungufu mengi walitufunga.Baada ya kuifungà timu yenye genge la majeruhi spurs wakiwa timilifu wamekufumua back to back
Hamna timu nyie mna genge la wapiga pasi za mazoeziTukiwa na mapungufu mengi walitufunga.
Jana tukiwa hivyo hivyo tumewala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndo mnatimu OT kitaeleweka.Hamna timu nyie mna genge la wapiga pasi za mazoezi
Mnamakocha wawili viazi hapo sari hajawahi kucheza mpira na akiwa kocha hajabeba chochoteNyie ndo mnatimu OT kitaeleweka.
Uyo Ole aliyeshusha timu daraja sijui atawapa nini msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
msaada anao ndugu sema aongeze umakiniGiroud jana vipi wadau? Kuna umuhimu wowote wa kuanza? Anaweza kua na msaada wowote katika timu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana jipya. Sijui jamaa anafunga magoli ya Aina gani?Giroud jana vipi wadau? Kuna umuhimu wowote wa kuanza? Anaweza kua na msaada wowote katika timu??
Sent using Jamii Forums mobile app