Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Ruben Loftus-Cheek set to become the first openly gay premier league player after coming out to teammates. [emoji2523]
Eden Hazard said, "It was a surprise when he came out and told us he was gay. We didn't know what to do but we helped him as much as we could".
#CFC #chelgay #Chelsea #hazard The Alchemist on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Ruben Loftus-Cheek set to become the first openly gay premier league player after coming out to teammates. [emoji2523]
Eden Hazard said, "It was a surprise when he came out and told us he was gay. We didn't know what to do but we helped him as much as we could".
#CFC #chelgay #Chelsea #hazard The Alchemist on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
PEP tena kilaza jamani, kwani vilaza huwa wakoje?
Kumbuka huyo kilaza huyu ndie analipwa zaidi katika ligi za Ulaya kwa mshahara wa Β£15.3 millioni kwa mwaka, pia kumbuka kuwa PEP ndie aliyeifumua Man City iliyokuwa kichwa cha waenda wazimu na sasa ni tishio England na Ulaya kote.
Mimi ni mfuasi mkubwa sana wa Mou lakini Mou hawezi mkuta PEP kwa creteria zote za ubora wa kocha
Mfano katika wingi wa trophies PEP yuko juu ya Mou PEP anazo kama 23 wakati Mou ni 21 tu. Kwa makombe ya kimataifa kama UEFA nk, PEP anazo 8 sawa na Furgie, Ancelotti wakati Mou anazo 4 tu hata akina Banitez-5, Zizzu-7 wamempita Mou
Winning %age
PEP ana wingning %age ya 73 wakati Mou ni 65 tu hata Zizzu wa 70% amemshinda Mou
Kwa hiyi nahitimisha kwa kusema kuwa Kocha wa Football mzuri kwa nyakati zote anaweza kuwa ni Alex Furgusson lakini kwa current coaches ni PEP Guardiola. Mou inabidi ajitahidi sana ili afikie rekodi ya PEP.
Wakati Mou ana karibu miaka 20 akifundisha soka, PEP anazo 10 tu na haya mafanikio yote kayapata ndani ya hizo miaka 10
Kwa hiyo ukipima mafanikio ya makocha kwa rate ya mwaka mmoja PEP ni wa tatu baada ya Zizzu akifuatiwa na Bob Pasley kocha wa Liverpool aliyeipa jina Liverpool hii ya leo ambayo akina King NGwaba wanaishabikia, nafikiri asingekuwa Bob hawa washabiki wa Liverpool leo wangekuwa aidha man united, arsenal au Chelsea. Mou anakuja nyuma sana akipitwa na akina Luiz Enrique na Antonio Conte
Achana nalo hilo taira la Pep lizidi kujipendekeza ili liwe linabaguliwa tu mpaka life, maana linaongozwa na hisia kuliko ukweli halisi.Pep akiwa na possible one of the best team of all time (Barca) ni Mourinho pekee aliweza kuchukua La Liga mbele ya Pep na pia alimfunga Pep akachukua Champions League
Carlo Anceloti alichomzidi Mourinho ni one Champions league trophy but still Mou has more trophies licha ya Carlo kufundisha miaka mingi zaidi ya Mou
Pep might be better than Mou but ni tofauti na sifa unazompa na I wonder unasema hadi Conte/Luis Enrique ni makocha bora kuliko Mourinho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masahihisho kidogo kwenye post ya juu, Pep aliikuta Man City ikiwa imetoka kucheza nusu fainali na siyo robo fainali kwenye kombe la UCL.Achana nalo hilo taira la Pep lizidi kujipendekeza ili liwe linabaguliwa tu mpaka life, maana linaongozwa na hisia kuliko ukweli halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
We kwanza unavyooandika unaonekana huna adabu na kuendelea kujibizana na wewe ni kupoteza mudaLeta hicho chanzo cha mahaba yako kwa PEP, kijana utakufa bure kwa mahaba yako hayo yasiyo na tija yoyote kwako.
PEP aliikuta Man City imetoka kucheza robo fainali ya UEFA, bado utasema kaboresha nini hasa hapo zaidi ya kutumia pesa nyingi tu bila ya kwenda na hiyo Man City robo fainali tena tangu aishikilie kiufundishaji?
Mwaka wa kwanza alifanya nini huyo PEP ktk EPL?
UKIWEKA HAPA HICHO CHANZO CHA HABARI KINACHOTHIBITISHA PEP KUMZIDI MOURINHO KWA :
PESA AU KULIPWA PESA ZA UKOCHA KWA ZAIDI YA MIAKA 15 NYUMA,
KUWA NA MAKOMBE MENGI KULIKO MOURINHO KWA ZAIDI YA MIAKA 15 NYUMA,
KUWA KTK LISTI YA MAKOCHA 10 BORA KWA ZAIDI YA MIAKA 15 NYUMA,
MIMI NITAKUWA TAIRA KUANZIA LEO NA NITAKURUHUSU UNIITE HIVYO.
LAKINI KAMA HIVYO VIGEZO VYOTE NILIVYOKUHITAJI UVIORODHESHE HAPO JUU KWA VYANZO VYA HABARI SAHIHI KAMA BBC, CNN, SKYPORTS N.K VIKIKUKATALIA BASI TANGU LEO HII WEWE NI PUNGUWANI NAMBA 1 DUNIANI AMBAYE UPO NA HAKUNA ATAYEKUFIKIA KAMWE SABABU YA KUWA NA MAHABA KWA MWANAUME MWENZAKO BILA YA VIGEZO THABITI.
NB: USITHUBUTU KUBISHANA NA MIMI KUHUSU MPIRA KAMA UNAONGOZWA NA MAHABA BILA USHAHIDI THABITI MAANA HATA MITAA ZAIDI YA MI4 TOFAUTI NILIYOKAA NIMESHAKULA SANA PESA ZA WAPUMBAVU WANOJIFANYA WANAJUA KUMBE HAWAJUI LOLOTE KAMA WW JNC ULIVYO.
Sent using Jamii Forums mobile app
haha achana naeWe kwanza unavyooandika unaonekana huna adabu na kuendelea kujibizana na wewe ni kupoteza muda
Na mimi nadobe nitaandaa yangu
maisha ya kukop na kupaste utaila utawakost watz wengRuben Loftus-Cheek set to become the first openly gay premier league player after coming out to teammates. [emoji2523]
Eden Hazard said, "It was a surprise when he came out and told us he was gay. We didn't know what to do but we helped him as much as we could".
#CFC #chelgay #Chelsea #hazard The Alchemist on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Mkuu kwa kunisahihisha vyema, afu bado tena mtu anasema kuwa PEP kaitengeneza sana Man City kuliko Mou aliyeikuta Man U ambayo haikuwa kushiriki kabisa UEFA zaidi ya misimu miwili nyuma.Masahihisho kidogo kwenye post ya juu, Pep aliikuta Man City ikiwa imetoka kucheza nusu fainali na siyo robo fainali kwenye kombe la UCL.