Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Wakuu hii mechi ngumu. Tuko ugenini tambueni. Lolote linaweza kutokea. Kama mtakua mnakumbuka kuna msimu mmoja wa Conte hawa hawa Tot ndio walituharibia ile winning series.
Tuombe tu kina Morata wasifanye uzembe na beki iwe fresh tusiruhusu hata goli moja.
Holla Blues
Naona mtu anatembezewa mkong'oto jazz band
Kuna nini mkuu,nijuze.
Zari ball mkuu
Jamaa wanapiga back pass hao alafu wanajisifia sanaJorginho ameshapiga pasi ngapi kurudi nyuma? Wanaongoza ngapi?
Chelsea kapigwa 2-0
Kuna nini mkuu,nijuze.
Jorginho ameshapiga pasi ngapi kurudi nyuma? Wanaongoza ngapi?
You are very right.Fucking Sarriball never win a game against top 6 team ππ
Kweli hii habari auYani Son kawakosa Waya Wa 3 kiboyaboya ππ