Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Haoana tazama aina za beki hivi kweli mfumo wa chelsea wa kupiga pas nying unaweza muona golkipa anafanya kaz na mfano wa wazi n barca kipa wao n mbovu ila ku5okana na mfumo anaonekana bora kepa ni bora sema tu ajapata mashambuliz makali maana beki zipo sawa
Barca ni wabovu nyuma, wako vizuri katikati na mbele na ndio maana wanatafuta beki mzoefu wa kuweza kuwaunganisha pale nyuma. Siku mildfilders na strikers wakishindwa kuperform Barca wanafungwa kirahisi na vitimu vidogoMkuu huyo unayesema kipa mbovu wa Barca ni huyu Ter Stegen au mwingine.?
Kuwa serious tafadhali.
Kacheza Jana kwa dakka 75
Afanye haraka maana ban inatuhusu hiyo lazima
Ubovu unaweza kuwa kwenye beki lakini hiyo haihalalishi kipa ni mbovu. Ubora wa kipa upo pale anapoweza ku cover mistakes za mabeki wake wale kina Pique wameshachoka bado hawajaweza kutengeneza pacha na Umtiti na ndio maana hata leo unasikia wanamtaka hadi Luiz lakin hiyo haiondoi ubora wa Stegen.Barca ni wabovu nyuma, wako vizuri katikati na mbele na ndio maana wanatafuta beki mzoefu wa kuweza kuwaunganisha pale nyuma. Siku mildfilders na strikers wakishindwa kuperform Barca wanafungwa kirahisi na vitimu vidogo