Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachezaji wa Liverpool roho zinawauma sana wanapoliona hili kombe la EPL View attachment 925005
kombe hili Hakuna mshabiki wa liver Tanzania kaliona likichukuliwa live labda you tube na recorded video, hongereni mashabiki wa Chelsea hata wa 2006 mna furaha kubwa kuliko mshabiki wa liver Tanzania miaka ya 80'S
 
Tangu EPL ianzishwe 1992 hawajawahi kuchukua kombe, hata nafasi ya pili wameshika mara tatu tu
 
Chelsea lineup available

Kepa
Zappacosta
Cahill
Christensen
Emerson
Barkley
Jorgihno
Loften cheek
Hazard
Giroud
Pedro

4-3-3[emoji838][emoji838]
 
Wale waliomiss kuona majanga ya Cahill line up hiyo hapo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…