Jblmunis333
Member
- Nov 6, 2018
- 65
- 40
Yaah! Kwel kama jamaa anavyosema barca wana interest na wachezaj wetu(blue'z) wawil ambao ni willian & Luiz ila pia wao pia wamemweka meza Malcon kwa ajil hyo ili xana xanaaa wampate williamV
Kitu gani zaidi ya hizo goli nne katika mechi nne nafikiri
Nenda ka google. Hatuji hapa bila uhakika. Verde anamtaka mlinzi mzoefu kama Luiz Pia wanamtaka Willian na wameshaanza mazungumzo. Ila nawasiwasi kama Chelsea watamtoa Luiz
Mmmh ni chelsea kaka lakini suarez aguero na costa ni khabari nyinyineaisee tema mate suarez n mbovu anabebwa n jin la club
We acha kumlinganisha aguero na hyo suarez uchafu forward wa kuda wte ni hapaMmmh ni chelsea kaka lakini suarez aguero na costa ni khabari nyinyine
MuhaSamahani Mkuu kwa kutoka nje ya mada! ivi wewe Ni Mkurya?
Tatizo ni kujisahau hasa pale wanapomilik mpira muda mrefu ni ludiger ndie anaye kaa nyumaKwangu mimi beki ina matatizo kiujumla haijakaa sawa sio luiz, rudiger, alonso au azpilicueta wote bado sana hawajawa serious kwenye ulinzi
Chelsea imekamilika katikati tu kwa mtazamo wangu
Kikosi chake kinajulikanaChelsea's Europa League press conference is at 15:15 UK time (18:15 local) tomorrow, shortly after they arrive into Belarus. Maurizio Sarri and one player will be speaking ahead of BATE. #CFC #UEL