Hata lile goli la Palace, Luiz kapanda akachelewa kurudi. Kwa kweli Chelsea wanahitaji mabeki wa kusaidiana na Rudiger ili Luiz au Alonos wapande. Willian alishahojiwa na kumuelezea Luiz kuwa alikuwaga mshambuliaji hii ya beki naona haiwezi sana kama ya kushambulia na Alonso nae hivyo hivyo anapenda sana kuwa mbeleHata city ya Pep mwanzoni walifungwa sana lakini hivi sasa ni historia
Suala la ulinzi kuwa hovyo kwa chelsea ya Sarri ni mabeki wa kati kucheza sana juu wakati mwingine Mpaka karibu na msitari wa katikati
Rejea goli alilotufunga crystal palace jumapili
Lakini pia Alonso kwa sasa hawazii kabisa kukaba yeye akili yake na mfumo huu wa sarriball ni kushambulia tu ndio maana anatoa sana Assist na kufunga sana kama beki
Nafikiri tunahitaji mwaka mmoja mabeki kupunguza makosa yao kwenye hii sarriball
Asante
Hakika huyu jamaa nampenda kupita maelezo#AntonioRudiger#antonio rudiger,
Huyu ndie unsung hero wetu so far msimu huu, ndie anayefunika mapungufu ya kupanda mbele hovyo kwa David Luiz na spidi ndogo ya Alonso kurudi kwenye nafasi yake. Na ndie anayefuata kwa kupiga pasi nyingi baada ya Jorgihno. A German machine
View attachment 921848
Hapa ndiyo huwa nikimuona yule beki wa Liverpool VVD namwonea wivu Sana, kwann Chelsea haikufikia makubaliano ya kumnunua VVD. Any way bado tunasafari ndefu naamini kocha anayaona hayo makosaHata city ya Pep mwanzoni walifungwa sana lakini hivi sasa ni historia
Suala la ulinzi kuwa hovyo kwa chelsea ya Sarri ni mabeki wa kati kucheza sana juu wakati mwingine Mpaka karibu na msitari wa katikati
Rejea goli alilotufunga crystal palace jumapili
Lakini pia Alonso kwa sasa hawazii kabisa kukaba yeye akili yake na mfumo huu wa sarriball ni kushambulia tu ndio maana anatoa sana Assist na kufunga sana kama beki
Nafikiri tunahitaji mwaka mmoja mabeki kupunguza makosa yao kwenye hii sarriball
Asante
Morata akiwa na confidence atafunga magoli mengi kwasababu anajua kujiposition. Sema miguu yake inakosa nguvu wa kubalance mipiraKocha kamwambia amefunga goli mbili lakini bado anahitaji kujituma mno ili kujikamilisha kama striker
aisee tema mate suarez n mbovu anabebwa n jin la clubMorata siyo complete striker kama kina Kane, Aguero, Suarez au Icardi. Physicality hayuko vizur kwa PL
aisee tema mate suarez n mbovu anabebwa n jin la club
January tunahitaji striker kama morata hatakuwa ameonyesha kitu uwanjaniAtabadilika tu kwa sababu inavyoelekea sari hataki kuuza wala kununua wachezaji januari
Sio luiz tu hata rudiger ana makosa kwa sababu wanashindwa kuafikiana kwamba nikienda mimi wewe unabaki sasa wao wakienda wanaenda wote ndio maana palace walitufunga lile goliHata lile goli la Palace, Luiz kapanda akachelewa kurudi. Kwa kweli Chelsea wanahitaji mabeki wa kusaidiana na Rudiger ili Luiz au Alonos wapande. Willian alishahojiwa na kumuelezea Luiz kuwa alikuwaga mshambuliaji hii ya beki naona haiwezi sana kama ya kushambulia na Alonso nae hivyo hivyo anapenda sana kuwa mbele
Goli lilipitia upande wa Luiz na Alonso sasa Rudiger anaingia wapi hapo. Ni kweli Alonso ni mzuri akipanda kwani hata goli la tatu ilikuwa ni assist yake Pedro akafunga na nasikia pia kocha kamkataza asipande. Kwa Luiz ni afadhali Akauzwa maana Barca wanamtaka ili pesa tupate ya kumleta anayefit kwenye formation na falsafa ya SariballSio luiz tu hata rudiger ana makosa kwa sababu wanashindwa kuafikiana kwamba nikienda mimi wewe unabaki sasa wao wakienda wanaenda wote ndio maana palace walitufunga lile goli
Kwa alonso sitaki kumlaumu sana kwa sababu anapopanda kuna faida kubwa mno pale anapotoa Assist
Kuanzia kudondoka na kutokufunga nafasi ya waz umilik wa mpira n ziro fuatilia utaona akuwaleague pendwa au bundesliga angechujaUbovu wake ni nini
Wewe mbona unakuwa muongo hiv barca wamtake luiz akacheze namba ya nan mbona dawa ya luiz ni kutafutiwa bk mwngne ambye atamfanya aache masihalaGoli lilipitia upande wa Luiz na Alonso sasa Rudiger anaingia wapi hapo. Ni kweli Alonso ni mzuri akipanda kwani hata goli la tatu ilikuwa ni assist yake Pedro akafunga na nasikia pia kocha kamkataza asipande. Kwa Luiz ni afadhali Akauzwa maana Barca wanamtaka ili pesa tupate ya kumleta anayefit kwenye formation na falsafa ya Sariball
Sio luiz tu hata rudiger ana makosa kwa sababu wanashindwa kuafikiana kwamba nikienda mimi wewe unabaki sasa wao wakienda wanaenda wote ndio maana palace walitufunga lile goli
Kwa alonso sitaki kumlaumu sana kwa sababu anapopanda kuna faida kubwa mno pale anapotoa Assist
Ni man city sio CFC RUDIA KUSOMAPOChelsea have entered the race to sign Lille winger Nicolas Pepe
[Telefoot]
Luiz anafit sana kwenye sarriball ndio maana hutasikia sarri akilaumu sana mabeki maana anajua hata kama beki zina mapungufu strikers wakiwa wanatimiza wajibu wao wa kufunga hakuna pengo kwa mabekiGoli lilipitia upande wa Luiz na Alonso sasa Rudiger anaingia wapi hapo. Ni kweli Alonso ni mzuri akipanda kwani hata goli la tatu ilikuwa ni assist yake Pedro akafunga na nasikia pia kocha kamkataza asipande. Kwa Luiz ni afadhali Akauzwa maana Barca wanamtaka ili pesa tupate ya kumleta anayefit kwenye formation na falsafa ya Sariball
Kwangu mimi beki ina matatizo kiujumla haijakaa sawa sio luiz, rudiger, alonso au azpilicueta wote bado sana hawajawa serious kwenye ulinziWewe LUDIGER ana kosa gani wakati ludiger ndie anaye clean makosa ya luiz na alonzo
Wewe LUDIGER ana kosa gani wakati ludiger ndie anaye clean makosa ya luiz na alonzo
Kitu gani zaidi ya hizo goli nne katika mechi nne nafikiriJanuary tunahitaji striker kama morata hatakuwa ameonyesha kitu uwanjani
Nenda ka google. Hatuji hapa bila uhakika. Verde anamtaka mlinzi mzoefu kama Luiz Pia wanamtaka Willian na wameshaanza mazungumzo. Ila nawasiwasi kama Chelsea watamtoa LuizWewe mbona unakuwa muongo hiv barca wamtake luiz akacheze namba ya nan mbona dawa ya luiz ni kutafutiwa bk mwngne ambye atamfanya aache masihala