Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Kuna comment yako bado naikumbuka ulisema morata ili avunge goli mbili anapaswa atengenezewe nafasi 6 najiuliza jana ilikuwaje?Morata bado haaminiki japo amefunga 2 ni kama mtu anayebahatisha Kufunga magoli
Wangemchukua huyu Jorginho wangekua hatari sana na Guadiola alivyo na misifaKuna comment yako bado naikumbuka ulisema morata ili avunge goli mbili anapaswa atengenezewe nafasi 6 najiuliza jana ilikuwaje?
huwa sipendi kuangalia mechi za timu pinzani ila jana nilipata kuangalia mechi ya Chelsea kipindi cha kwanza kuna jambo la ajabu nimeliona.
uwezo wa ross Barkley umekuwa wa kiwango cha phd kwa fikra zangu dhaifu.
Mara yangu ya mwisho kumuona ni nyakati za utawala wa Conte.
ross ameachana na soka la kiingereza.
pia majirani hongereni sana kwa usajili wa jorginho mumefanya la maana sana kuwapokonya tonge mdomoni waarabu wa Etihad.
Morata ni mzuri na kuna kitu cocha kaiona kwake na ndio maana anampenda na kumvumilia. Kikubwa kocha anachokiona pingamizi kwa morata ni confidence yake ilikuwa hakuna na ikirudi tu ni mfungaji mzuri sanaI am sorry but sina imani na Morata!
Morata anafunga lakini.Morata siyo complete striker kama kina Kane, Aguero, Suarez au Icardi. Physicality hayuko vizur kwa PL
Underrated playerantonio rudiger,
Huyu ndie unsung hero wetu so far msimu huu, ndie anayefunika mapungufu ya kupanda mbele hovyo kwa David Luiz na spidi ndogo ya Alonso kurudi kwenye nafasi yake. Na ndie anayefuata kwa kupiga pasi nyingi baada ya Jorgihno. A German machine
View attachment 921848
ahsante kwa kuliona hilo.Wangemchukua huyu Jorginho wangekua hatari sana na Guadiola alivyo na misifa
hahahahahahaaaa icho kichwa umekiona lakini?
Asante mkuuKuna comment yako bado naikumbuka ulisema morata ili avunge goli mbili anapaswa atengenezewe nafasi 6 najiuliza jana ilikuwaje?
huwa sipendi kuangalia mechi za timu pinzani ila jana nilipata kuangalia mechi ya Chelsea kipindi cha kwanza kuna jambo la ajabu nimeliona.
uwezo wa ross Barkley umekuwa wa kiwango cha phd kwa fikra zangu dhaifu.
Mara yangu ya mwisho kumuona ni nyakati za utawala wa Conte.
ross ameachana na soka la kiingereza.
pia majirani hongereni sana kwa usajili wa jorginho mumefanya la maana sana kuwapokonya tonge mdomoni waarabu wa Etihad.
Kocha kamwambia amefunga goli mbili lakini bado anahitaji kujituma mno ili kujikamilisha kama strikerMorata ni mzuri na kuna kitu cocha kaiona kwake na ndio maana anampenda na kumvumilia. Kikubwa kocha anachokiona pingamizi kwa morata ni confidence yake ilikuwa hakuna na ikirudi tu ni mfungaji mzuri sana
Maajabu ya sarriball haya
Amefunga goli mbili dhidi ya nani???Kuna team nyingine hata ungepangwa wewe utafunga tuKocha kamwambia amefunga goli mbili lakini bado anahitaji kujituma mno ili kujikamilisha kama striker
dah kuna watu huku afrika wanajua kuangalia mpira kwa umakini sana.antonio rudiger,
Huyu ndie unsung hero wetu so far msimu huu, ndie anayefunika mapungufu ya kupanda mbele hovyo kwa David Luiz na spidi ndogo ya Alonso kurudi kwenye nafasi yake. Na ndie anayefuata kwa kupiga pasi nyingi baada ya Jorgihno. A German machine
View attachment 921848
Mkuu Acha utaniAmefunga goli mbili dhidi ya nani???Kuna team nyingine hata ungepangwa wewe utafunga tu
Hata city ya Pep mwanzoni walifungwa sana lakini hivi sasa ni historiadah kuna watu huku afrika wanajua kuangalia mpira kwa umakini sana.
heshima kwako muheshimiwa kalou kwa kuona udhaifu wenu.
upande wenu wa kushoto chelsea mupo vizuri sana kwa kushambulia lakini ndio upande ambao mupo ovyo sana kwenye kujilinda, udhaifu mkubwa niliouona hamujui kujipanga mipira ya krosi zile zinazopigwa chini na wapinzani.
inawezekana pia kitendo cha ngolo konte kuwa juu sana msimu huu kinachangia wachezaji wenu kuwa wachache sana eneo lenu la nyuma.
alonso na david luiz wanasogea sana na kuwapa mwanya sana maadui.
jaribu kurejea mechi dhidi ya arsenal na manchester united magoli muliofungwa na muliokoswa utagundua udhaifu uliouzungumza.
mkuu fanya mpango uwende ulaya ukapige hela.
Atabadilika tu kwa sababu inavyoelekea sari hataki kuuza wala kununua wachezaji januariKocha kamwambia amefunga goli mbili lakini bado anahitaji kujituma mno ili kujikamilisha kama striker