Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Huyu Carhill tulimpingaga huko nyuma kidogo kukawa na watu wanamfagilia sana yuko wapi sasa. Sarri ni kama kamuondoa kidiplomasia tu. Captain halafu hupewi nafasi ni sawa na umeenguliwa ila kapewa aamue mwenyewe. Sari anachotaka daima kuwin ni team yote imkubali na ndio maana kwenye mahusiano ni moja wa makocha waliofaulu sanaCahili unahodha wake ni huko europa league, Carabao Cup, na FA cup ambapo kuna kikosi kingine kinacheza huko tofauti na kile cha EPL
Kaamua asije akarudia makosa aliyoyafanya Chelsea ya kubaki kulalamika tu kama anavyofanya Mo u kule Man uConte wanted a three years contract with full control on player transfers. He also wanted to bring in too many staff members of his own choice. These were some of the reason why Madrid and Conte couldn't reach an agreement. [Former Real Madrid President Calderon]
Uko sahihi anajibu kisomi sana maswali ya kimitego huyu kochaHuyu Carhill tulimpingaga huko nyuma kidogo kukawa na watu wanamfagilia sana yuko wapi sasa. Sarri ni kama kamuondoa kidiplomasia tu. Captain halafu hupewi nafasi ni sawa na umeenguliwa ila kapewa aamue mwenyewe. Sari anachotaka daima kuwin ni team yote imkubali na ndio maana kwenye mahusiano ni moja wa makocha waliofaulu sana
Wewe umetumwaWana chelsea wenzangu, kiukweli bila hazard timu yetu haifurukuti kwa vigogo kama liverpool, city, arsenal, totenh, man u, west ham, wolves, everton, fulham,burnley, bournamouth, Brighton and holve, cardif,newcastle and leiceter.
Sawa. Nini maoni yako?Wana chelsea wenzangu, kiukweli bila hazard timu yetu haifurukuti kwa vigogo kama liverpool, city, arsenal, totenh, man u, west ham, wolves, everton, fulham,burnley, bournamouth, Brighton and holve, cardif,newcastle and leiceter.
Tunaenda kumpiga palace tukashike nafasi ya pili,msimu huu ni bampa to bampa
Unachekesha wewe mtu kutoka Liverpool ni bingwa msimu hadi man city ni bingwaKuna kila dalili kuwa Man City ndiye Bingwa msimu huu..
Lakini nakukumbusha tu kuwa huna haja ya kujisifia nafasi ya pili kwani tunapishana hii nafasi kutegemeana nanani anacheza na timu kubwa.
Kwahiyo hata wewe ukivheza na Man City basi utanipisha tu hapo.