Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
"Sarri wouldn't have signed Kovacic, had he known the potential of Barkley and Loftus Cheek. I'd rather send Kovacic back to Real Madrid than send Loftus Cheek on loan. Sarri has a nice problem at the moment, he can't drop Kante while he has 3 players for 1 spot" - Martin Keown
Kovacic kama sio mzuri kwenye kustrike si apelekwe namba sita halafu huyo Jorginho aje apige namba nane/B2B?
Yaani Loftus sababu kapiga Hattrick Europa ndio kusema ni bora kuliko Mateo?
Binafsi Kante na Mateo ndio watu wanaonifanya nione Chelsea ndio timu yenye midfield bora pale EPL wakifuatiwa na Manchester City wenye KDB-Fernandinho partneship
Hata Mimi napenda tuwe na kikosi kikubwa. Ila Kovacic ana mchango mkubwa kuliko Loftus
Huwa hakuna formation moja kwenye match. unaweza panga 433 lakini jinsi oponent wako anavyocheza mnaweza jikuta mnalazimika temporarily au permanently switch to other formationsMaurizio Sarri has always had a habit of using the formation of 4-3-3 to set up nearly all of his games. However, is this really the best formation for us? Here’s a look into where and why Sarri tends to tweak the formation in given situations.
Moja ya sababu zinazofanya mashabiki wa Chelshit kuwa the worst in the world.
Plastic fans