Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Nimesoma taarifa za leo Conte kafunga ukurasa kwa kukataa ofa ya Florentino Perez ataendelea kupumzika mpaka msimu wa kiangazi ndipo atafute ajira
Right Winger?Si wakamchukue Samatta wa mil8 na anafunga kama CR7?
1) CR7
2) L. Messi
3) Neymar
4) E. Hazard
5) Mbappe
Hata neymar hastahili kuwa namba tatuTuombe radhi washabiki sote Wa soccer kwa kumueka CR7 a.k.a Mmorocco mbele ya Messi.
Ronaldo hapo juu mnamuweka kwasababu ipiHata neymar hastahili kuwa namba tatu
Messi
Ronaldo
Hazard
Mbape
Neymar
Amerudi kiwango chake kimerudiRonaldo hapo juu mnamuweka kwasababu ipi
Hata neymar hastahili kuwa namba tatu
Messi
Ronaldo
Hazard
Mbape
Neymar
Kwangu namba moja messi, mbili messi,tatu mesi kile kiumbe hatari sanaTuombe radhi washabiki sote Wa soccer kwa kumueka CR7 a.k.a Mmorocco mbele ya Messi.
Nasemaje top 3 yangu ni hii kwa sasaUsimbeze Neymar! Ni injury tu ndiyo zimemuandama nakumfanya asiwe na msimu mzuri tokea last season...
Lakini anapokuwa Fit huwezi kumuondosha nyuma ya Messi na Ronaldo.
Kwasasa Top 3 ni Messi → Rinaldo → Neymar.
Baada ya hapo ndiyo wanafuata Hazard → Mbappe.
In Case of Best dribblers basi inakuja hivi Messi → Neymar → Hazard → Mbappe → Ronaldo.
Ronaldo hapo juu mnamuweka kwasababu ipi
Neymar hana dribbling kumzidi hazard mkuu tafuta takwimuUsimbeze Neymar! Ni injury tu ndiyo zimemuandama nakumfanya asiwe na msimu mzuri tokea last season...
Lakini anapokuwa Fit huwezi kumuondosha nyuma ya Messi na Ronaldo.
Kwasasa Top 3 ni Messi → Rinaldo → Neymar.
Baada ya hapo ndiyo wanafuata Hazard → Mbappe.
In Case of Best dribblers basi inakuja hivi Messi → Neymar → Hazard → Mbappe → Ronaldo.
Nasemaje top 3 yangu ni hii kwa sasa
Messi
Ronaldo
Hazard
Neymar tupa Mpaka nafasi ya tano kiwango kikirudi tutamrudisha