Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Huu utumbo gani jamani.?Ndugu zangu mbona tunanuniana sana kwa sasa?
Niliwaambia viungo wenu wote watatu ni watu wa kuchezea mpira haita fanya kazi EPL mkanicheka
Jorgihno na Kovacic ni wazuri sana lkn hawawezi 38 games za EPL,mnahitaji mtu mmoja mwehu pale kama Milner
Kosa lake lilikuwa lipi jana?Kipa ghali duniani anatunguliwa tu daily
Ametunguliwa au hajatunguliwa?Kosa lake lilikuwa lipi jana?
Cause you got nothing to argue withWon't argue with you.
Alamsik.
You got the joke, nothing.Cause you got nothing to argue with
Loftus cheek naona amekuwa sasaView attachment 911360
Kwa hiyo akiwa ghali hawezi kufungwa game hata moja na hata goli moja.?Ametunguliwa au hajatunguliwa?
Ughali wake nn sana kama mechi mfululizo 2 goli 3Kwa hiyo akiwa ghali hawezi kufungwa game hata moja na hata goli moja.?
[emoji57] [emoji57]Kipa ghali duniani anatunguliwa tu daily
Hahahahahahahahahahahahahahahaha haitauzwa club tu mpaka mashabiki mtauzwa au mmejisahaulisha kuwa Abramovich alinunua Chelsea na mashabikiKuna tetesi za kuuzwa kwa Club na Abrahamovic, hii imekaaje wakuu...??
Mtifuano wa kisiasa umesababisha haya yote mkuu, Wanasema kwa sasa Abrahamovic anatumia status yake ya Uraia wa Israel kupumua huko UK, Mradi wa ujenzi wa uwanja uko mashakani, haya ndiyo madhara ya kuingiza siasa kwenye michezo.Hahahahahahahahahahahahahahahaha haitauzwa club tu mpaka mashabiki mtauzwa au mmejisahaulisha kuwa Abramovich alinunua Chelsea na mashabiki
Sometimes ubishani mwingine ni wa kupimana akili na kupoteza muda tu. Ngoja na mimi nipoteze na wewe.Ughali wake nn sana kama mechi mfululizo 2 goli 3
PIcha yako ianonyesha una hekima lakini ulichokiandika ni utumbo mtupuAmetunguliwa au hajatunguliwa?