Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,480
Kuna misimu miwili alicheza mechi 10 kwa jumla. Majeruhi yanawapoteza sana wachezaji.Willian is 30 years old, he started playing in 2006 and still hasn't scored 50 league goals.
How is that even possible.
KWANN TUSIUZE JOGINYO TULETE STERLING IV MINAONA JOGINYO HANA MADHARA ANAISHIA KUPIGA MIPASI TU
Willian ni winger, sio striker kama Morata. Winger kazi kubwa ni kufeed crosses kwa wafungaji japo kweli magoli aliyofunga kama ni hiyo idadi ni ndogo kwa muda aluochezaWillian is 30 years old, he started playing in 2006 and still hasn't scored 50 league goals.
How is that even possible.
Willian ni winger, sio striker kama Morata. Winger kazi kubwa ni kufeed crosses kwa wafungaji japo kweli magoli aliyofunga kama ni hiyo idadi ni ndogo kwa muda aluocheza
Team inapoints 23 sawa na anayeongoza ligi ndiyo imejifia?Malafyale wewe timu yako imeshajifia wenzako kule wanakuona unaongea pumba tu.
Unaongea kiliverpool mnoNdugu zangu mbona tunanuniana sana kwa sasa?
Niliwaambia viungo wenu wote watatu ni watu wa kuchezea mpira haita fanya kazi EPL mkanicheka
Jorgihno na Kovacic ni wazuri sana lkn hawawezi 38 games za EPL,mnahitaji mtu mmoja mwehu pale kama Milner
jogoo mbele ya Gun ni kifo tu.Team inapoints 23 sawa na anayeongoza ligi ndiyo imejifia?
Usiajli kule huwa sikubali wachezaji wetu waitwe majina yasiyofaa,kama nyie haoa mnakubali akina Willian kukejeliwa hayo ni yenu!
Nampiga Red Brigade,atakuja Cardif Jmosi nampiga,naenda kwa Arsenal nampiga,atakuja Fulham nampiga kisha Watford!
Nani sasa hapa HAYAOGOPI MAJOGOO?