Nasri Benson
Member
- Sep 15, 2016
- 63
- 77
endelea kuamin kwa mayai mayai morata na mzigo geroud badala ya kuingia sokoni kusaka goal mashine za maanaSarri -
“I was tempted to use Hazard as a centre-forward and I might consider it again in future, but it’s not the right time now. We need to believe in Olivier Giroud and Alvaro Morata.”
Vip kuhusu Kovacic
Nasikia AC Milan wanampango wa kuwa rudishia zigo lenu BAKAYOKO mwezi January hahahaha
Ha ha ha aha jirani wa hazard unaejue kuwa Familia inafurahaMe Hazard naona kila msimu kauli yake ni hii hii na waandishi wanazidi kumuuliza na anajibu hivi hivi.
Kuhama England kwenda Spain ni ngumu sana kwa Hazard kwanza Familia ina enjoy pale London. Unapohama nchi moja kwenda nyingne familia haina budii Ku adapt. Hazard ana Mke na mtoto.
Courtois ilikuwa ni rahisi kwa sababu familia yake ipo Kule. Yeye mwenyewe aliona kazi kuwahamisha kutoka Madrid to London.
Hazard kwenda Real Madrid inategemea na kocha mpya kama huyu akifukuzwa. Kwa mfano Conte ndo aende Madrid ha ha hah Hazard haendi Ng'oooo
Na kuna reporter wa RM amesema Madrid inamtaka Neymar na Eriksen wa Tottenham
Me nao hazard atasain mkataba mpya.
Ha ha ha aha jirani wa hazard unaejue kuwa Familia inafuraha
Ila Kwa Wilian hapo itakua sio sawa.Bit of what we could expect in January transfer window.
Nathan Ake (IN) Gary Cahill (OUT)
Matteo Kovacic (SIGN ON A PERMANENT DEAL)
Sandro Tonali (IN) Drinkwater (OUT)
Piatek (IN) Morata (OUT)
Bakayoko (OUT PERMANENT)
Loftus Cheek (Loan)
Federico Chiesa (IN) Willian (OUT)
Ila Kwa Wilian hapo itakua sio sawa.
Kwa upande wa willian.haiwezekanBit of what we could expect in January transfer window.
Nathan Ake (IN) Gary Cahill (OUT)
Matteo Kovacic (SIGN ON A PERMANENT DEAL)
Sandro Tonali (IN) Drinkwater (OUT)
Piatek (IN) Morata (OUT)
Bakayoko (OUT PERMANENT)
Loftus Cheek (Loan)
Federico Chiesa (IN) Willian (OUT)
Itawezekana maana kashaanza kumlalamikia kochan kuhusu ratiba na abada ya hayo malalamiko amekuwa hachezi vizuriKwa upande wa willian.haiwezekan
Iyo uwakika mzee baba...Nipigien man u wikiend hii abak huko huko shimoni
Hilo bas watakalopaki kwa sarri ball itabidi waagize Yutong kama...3 hivi,Iyo uwakika mzee baba...