Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,455
Anaweza kuwa mkuu lain hatafika level za Lampard...
Kwanza dkk anazocheza uwanjani ni chache sana.
akipata nafasi kama gemu tano mfululizo anweza kutengeneza confidence ya maana.
Tukamwita nu Lampard.
Wakuu wakati wa mechi sikuwa na mtandao kabisa nikashindwa kusherehekea ushindi pamoja nanyi na kubadilishana mambo mbalimbali.
Kwa upande wangu nimeridhishwa sana na kiwango cha Barkley. Kuhusu kipa sina cha kusema sidhani kama kuna mtu ana mashaka naye tena. 3 point + clean sheet.
Hollaaa Blues
31 - There were 31 passes made in the build-up to Alvaro Morata's goal for Chelsea against Southampton; the most of any goal in the Premier League this season. Slick. OptaJoe on Twitter
View attachment 889859
Chelsea - Southampton thoughts:
- So deserved by Barkley
- Kepa better every minute
- Azpi = Big concern
- Willian = Wasteful
- Jorginho quietly crucial
- Giroud always helps
- Bad time for an int. break for Morata
- Rüdiger, please be OK
- Hazard w/ Sarri = Absolute Hazard
Chelsea - Southampton thoughts:
- So deserved by Barkley
- Kepa better every minute
- Azpi = Big concern
- Willian = Wasteful
- Jorginho quietly crucial
- Giroud always helps
- Bad time for an int. break for Morata
- Rüdiger, please be OK
- Hazard w/ Sarri = Absolute Hazard
Mshabiki mwenzangu upo excited Sana kuliko uhalisia unaye mfanyia comparison ni kipa bora wa duniaBora Courtois alivyoondoka, Keppa is better than him by far
tumelifanyia kazi tayariUSHAURI WA BURE!
Kwa wahabiki wa Chelsea na Liverpool, much respect kwenu!!, hivi mnaonaje na nyinyi mkawa na THREAD yenu maalumu kwa ajili ya timu zenu?, i guess timu kama Liverpoll ni kongwe na haiwezi kosa mashabiki wengi humu JF. Kwa Chelsea AB-TICHAZ you can take that initiative or s'one else..!
Nafikiri itapendeza zaidi kuliko kuwa na ad hoc threads na pengine esp. zile zinazojitokeza kukiwa na 'supriz' na matokeo kama ya jana.
Ni mtizamo tu-Thanks!!
Keppa is the most expensive goalkeeper hapa Duniani and he is only 24 ,kaa chini halafu u digest hili.Mshabiki mwenzangu upo excited Sana kuliko uhalisia unaye mfanyia comparison ni kipa bora wa dunia
tumelifanyia kazi tayari
Keppa is the most expensive goalkeeper hapa Duniani and he is only 24 ,kaa chini halafu u digest hili.
Unless anaangalia matokeo ya Chelsea livescore unaweza ku doubt ubora wa KeppaSo was Pogba at some point.
Let time decide that. I agree he is good...but not the best - just yet!
Has the potential though...
And my point is ,he is better than CourtoisSo was Pogba at some point.
Let time decide that. I agree he is good...but not the best - just yet!
Has the potential though...
Liverpool fans sasa wanaanza kuelewa Sarrisball eh. Bahati mbaya mpaka April mwakani ndio tunakutana tena
2008Duh mkuu, umeenda ku-quote message ya mwaka gani!??