Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa ligi ya UK, Liverpool ni timu ya kawaida sana kama Mana city tu!!!!!!!!!

Kwahiyo ulichoaminishwa Wewe Kuwa Chelsea ndiyo timu kubwa? Hii dunia haiishi vituko mkubwa kucheza Eropa na Mbwana Samata.!!!
 
Dakika ya 25' Shots on Target Ni 0
Sijui Hata munacheza Nini πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Au Maugoro kaambiwa Points zinapatikana Kwa Pasi Nyingi??
 
Half-Time only ONE shot ON target SarriBall bhana inamake sense Kweli πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…