Mchezaji yoyote kwa nafasi ya midfilder ambaye anacheza a long side na Kante na bado akaonekana hajui huyo ni garasa wa kutupwaMkuu kumbuka hatuko ligi tu ..kuna Europa, carabao, Fa na kuhakikisha msimu ujao tupo Uefa kwahiyo baka anaweza pata gemu zake apo
Huna habari? Yuko Bernabeu saa hizi.....sasa hivi langoni tuna Kepa Arrizabalaga.Thibaut courtuiois VP??
Ni haki yake mkuu kuvunja glas aisee siyo kwa maudhi yaleMwanangu mpaka amevunja glas kwa furaha..hiyo penat ina maudhi yake
Hapa ndiyo nilijua Hazard anatumia Akili light angempasia Morata lazima angepoteza ama angempasia kipa. His decision was correct indeed
Kuna Barkley, Drinkwater, Fabregas, Loftus Cheek...Bakayoko anaweza kwenda tu kwa kweli.Mkuu kumbuka hatuko ligi tu ..kuna Europa, carabao, Fa na kuhakikisha msimu ujao tupo Uefa kwahiyo baka anaweza pata gemu zake apo
Kuna Barkley, Drinkwater, Fabregas, Loftus Cheek...Bakayoko anaweza kwenda tu kwa kweli.
kepa bado sana anafanya alot of mistakes,landa tusubiri anaweza kuja kuwa kama de gea....but for now sio wakumpa asilimia mia ya kumuamini golini.Huu usajili wa hwa madogo Joginho na Kepa sina mashaka nao mpaka sasa
Bakayoko ana potentials ukikumbuka he is just 23. Chelsea sasa hivi haitaki mambo ya Lukaku, Dr bruine na Salah yajirudieMchezaji yoyote kwa nafasi ya midfilder ambaye anacheza a long side na Kante na bado akaonekana hajui huyo ni garasa wa kutupwa
Kama kante akicheza kwa mfumo huo basi ataweza funga goli nyingi sana
Waliokuwa na wasiwasi na mashaka kwamba Kante atacheza vipi na Joginho naamini Jana mmepata majibu.
Kante kwa sasa atakuwa anakuwa anacheza mbele ya midfield wawili kulia. Kwa hiyo tutegemee kumuona Kante akishambulia zaidi na hivyo tutegemee magoli zaidi kuliko misimu ya nyuma.
Ndio mkuu wameshajudge..!!Wakuu Samahanini Naomba Kuwauliza!!! Inamana Matokeo Ya Jana pamoja na Goli la Kante Ndiyo Mumesha-judge msimu Mzima itakavyokuwa! si Ndiyo?
Take a chill pill, EPL ni marathonWakuu Samahanini Naomba Kuwauliza!!! Inamana Matokeo Ya Jana pamoja na Goli la Kante Ndiyo Mumesha-judge msimu Mzima itakavyokuwa! si Ndiyo?
Jorginho
Kante
Kovacic
Mtapata tabu sana kwa hii kiungo hii