Hata maana yake nini?Unaelewa maana ya (hata)
Uliuliza kwa kejeli nikekujibu vile unataka jamaa nliekuwa nafanya nae mjadala anajua nn tunazungumzia kabla hujaquote mtu yafaa usome vizur post na kuona mjadala ulianzia wap
Bacca anang'oka iwapo conte ataacha ujinga wake wa kumpanga Hazard kama false no.9...formation iwe 4 3 4....kante aanze na drinking water...wapewe kaz maalum pale kati ni kwanini drinking water na siyo fab? Fab anakosa physical prencence pale kati...kitu ambacho kitatu expose vibaya kwa mtu hatari kama ineista na mess...mbele Hazard, Giroud na William...william na Hazard wanaelewana vizuri sana...na hazard akicheza pemben anakuwa mtam zaid na yeye mwenyewe ameshaconfess hilo.....mwisho, ..team work ndio itakayo spearhead hii game...cha kwanza tutafute goal la mapema kuwavuruga....then game itakuwa upande wetu...nje ya hapo kaz tunayo.Wakuu vipi uwezo wa kumng'oa huyu Barcelona upo au ndio tutayaaga rasmi haya mashindano pendwa
sorry hapo formation ina error...ni 3 4 3Bacca anang'oka iwapo conte ataacha ujinga wake wa kumpanga Hazard kama false no.9...formation iwe 4 3 4....kante aanze na drinking water...wapewe kaz maalum pale kati ni kwanini drinking water na siyo fab? Fab anakosa physical prencence pale kati...kitu ambacho kitatu expose vibaya kwa mtu hatari kama ineista na mess...mbele Hazard, Giroud na William...william na Hazard wanaelewana vizuri sana...na hazard akicheza pemben anakuwa mtam zaid na yeye mwenyewe ameshaconfess hilo.....mwisho, ..team work ndio itakayo spearhead hii game...cha kwanza tutafute goal la mapema kuwavuruga....then game itakuwa upande wetu...nje ya hapo kaz tunayo.
Huyu pakashume anatoka vizuri. Ila Conte ampange Giroud #9 then Hazard acheze nyuma ya striker huku Willian akitokea kulia kama namba 7. Barca anatoka kwa plan siyo kichwa kichwa kibahati bahati tu tutaenda kukamilisha ratiba.Wakuu vipi uwezo wa kumng'oa huyu Barcelona upo au ndio tutayaaga rasmi haya mashindano pendwa
kama man u kayaaga kwa vibonde, sisi haitakuwa kitu cha ajabu. [emoji123]Wakuu vipi uwezo wa kumng'oa huyu Barcelona upo au ndio tutayaaga rasmi haya mashindano pendwa
Wakuu vipi uwezo wa kumng'oa huyu Barcelona upo au ndio tutayaaga rasmi haya mashindano pendwa
Yaani ndo kwa heri ivo mkuu hamna chenu uefaWakuu vipi uwezo wa kumng'oa huyu Barcelona upo au ndio tutayaaga rasmi haya mashindano pendwa
ReservedNi rahisi wa RC Makonda kuchaguliwa kuwa Rais wa Russia kuliko Chelsea kusonga mbele leo!Tuache utani jamani
Hata jana mtoto wa josee morhnyo aliomba mpira akasema nakuletea kilichomkuta anajua yyHaya sasa Mapya [emoji116]
Mtoto wa messi kaomba mpira huko nyumbani. messi kamwambia baadae nitakuletea[emoji16][emoji16]
Haya sasa Mapya [emoji116]
Mtoto wa messi kaomba mpira huko nyumbani. messi kamwambia baadae nitakuletea[emoji16][emoji16]