Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Mkuu Conte alikua anajaribu kucheza kamali. Ingefanikiwa tungesema super sub. Lakini ndio ishafeli. Conte anabahatisha sanaHii sub ya kumtoa hazard na kumuacha morata hata sijaielewa
Sidhani kama atarudiRafikii hellow
Hebu kuwa honest bhana. Hivi ni wakina nani wana kelele.?FT: Man U 2 vs Chelsea 1 hureeeee na msirudie tena kupigapiga kelele
Akimaanisha na Chelsea ni timu ndogo. ???"LUKAKU HUWAGA ANAFUNGAGA VITIMU VIDOGO VIDOGO" By Unknown JF Member (Shabiki wa chelsea kipindi Lukaku amesajiliwa)
Mimi nimenukuu mkuu, hilo swali tungemuuliza huyo shabiki wa chelsea ndio angekua na majibu...Akimaanisha na Chelsea ni timu ndogo. ???
Yan badala amtoe MosesMkuu Conte alikua anajaribu kucheza kamali. Ingefanikiwa tungesema super sub. Lakini ndio ishafeli. Conte anabahatisha sana
Hii sub ya kumtoa hazard na kumuacha morata hata sijaielewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cyo konte ni kante
Inawezekana hata Hazard angebaki tungefungwa. Kwani Hazard ni beki kusema kwamba angezuia mpira usiingie wavuni?Conte ndo kauza tim unatoa
Hazard na game hujashinda
unategemea nn
Kwasababu imefanya mshinde leo..?Hii back three ya Chelsea iko poa sana, rudiger, Cesar+ Christensen
Conte sio mzima..hivi anasubiri nn kuondoka?Hii sub ya kumtoa hazard na kumuacha morata hata sijaielewa
[emoji22] [emoji22]Rafikii hellow
Yote hayo Kocha mkuu..pumbav zake Conte. Ana mbeba huyu MorataMbona kama Conte anabahatisha katika maamuzi yake. Anamtoa Hazard halafu anakuja kumuingiza tena Fabregas. Wale ngedere wamepaki basi badala ya kujaza viungo sijui akawa analengo gani.
Morata kaprove failure muda hakukua na haja ya kumuacha uwanjani Mpka dkk ya 90.
Once a blue always a blue. Tumepoteza pamoja