Kama huwezi ku create chance za kufunga hata umiliki mpira 98% kwa 2% bado timu lako linamiliki mpira kwa squire passes na ni dhaifuBP 30/70 ?
Numbisa wewe chama gani? Ili nikupe pole zako mkifungwa. [emoji38] [emoji38]Goli la Chelsea lilifungwa na Willian kunako dakika ya 62 kwa shuti zuri lililopita miguuni mwa mabeki wa Barcelona.
Kwa sare hiyo Barcelona imekuwa na faida ya goli moja la ugenini, kabla timu hizo hazijakutana tena katika mchezo wa marudiano utakaochezwa kwenye Uwanja wa Camp Nou, Jumatano ya March 14 2018.
Numbisa wewe chama gani? Ili nikupe pole zako mkifungwa. [emoji38] [emoji38]
Ulinzi shirikishi huo.Na itakua hivi hivi shambani kwao nou camp
Hahahaha hii ni habari ya kutisha mkuuKumbukeni gemu ya marudiano bakayoko atakua amepona na atacheza[emoji2] [emoji2]
Conte kashajibu kuwa kwa Barcelona angeweka striker Chelsea ingezidiwa na ingefungwa 4 au 5 bila kama anavyofanya kule kwenye laliga. Kasema alifanya hivyo makusudi "It was a tactical plan" na huo mchezo walishapanga kucheza hivyo ila tu kosa moja la beki mchanga likaigharimu timuMkuu kwenye ukweli tuseme tu. Jana konte angemchezesha striker Chelsea wangeibuka washindi. Lakini kitendo cha kumpanga hazard kama false striker amearibu mwenyewe.
Kabisa mkuuMkuu kwenye ukweli tuseme tu. Jana konte angemchezesha striker Chelsea wangeibuka washindi. Lakini kitendo cha kumpanga hazard kama false striker amearibu mwenyewe.
[emoji1] [emoji1]Ulinzi shirikishi huo.
Mkuu unakosa imani na timu hata kabla haujaingia uwanjani!? Sasa kila shabiki akiwa kama ww timu itapata wa kuisindikiza Nou CampNimewafollow baadhi ya mastaa wetu katika Instagram zao na wengi baada ya match dhidi ya barcelona walionekana kusikitika kuipata sare
Wengi wakiwemo hazard ,Willian, alonso, kante, christensen, aspiliqueta wanaamini watapambana kufa kupona pale nyumbani kwa barcelona mi nasubiri ili kuona kile watakachokionesha uwanjani siku hiyo
Narudia tena wakifanikiwa kuitoa hongera zao nyingi sana
Nawatakia mpambano mwema
Mkuu nina imani ila wakati mwingine unaweza usiielewe hii team maana uwanjani hujui watakupa nini na kwa wakati ganiMkuu unakosa imani na timu hata kabla haujaingia uwanjani!? Sasa kila shabiki akiwa kama ww timu itapata wa kuisindikiza Nou Camp