eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Morata si mshambuliajiYan tupo home hafu tunacheza bila mshambuliaji sdham km itakua hvi
Ni kijana mdogo ila tayari ameaminika kwa club na washabiki trust me dogo stanza leo; Cahil atasubiriHuyu simuamini kabisa bado hajakomaa
Unawaponza wenzio chief,Come on Chelsea!! Hivi Nyie Baadhi Ya Mashabiki Huyo Barcelona Munamuogopa Kitu Gani?
Hebu Jiamini Mumkalishe Barca!
Ni Timu ya Kawaida tu hile! Inafungika Kama Timu nyengine!
Mbona unakata tamaa mapema hivyo mkuu,?lakini pia hapo umeangalia Chelsea ya 2012 ,vip barca ya 2012 ya wakina xavi,marchelano,alves ni sawa na hii ya sasa?Tofauti ya chelsea ya 2012 na ya sasa
Chelsea ya 2012 ilikuwa na watu wa kazi
Chelsea ya 2012 ilikuwa na wapiga mashuti ya kuogofya langoni mwa wapinzani
Chelsea ya 2012 kuanzia mabeki, viungo, na washambuliaji walikuwa wanajua nini wanakitaka na wanakitafuta na wanakipata
Chelsea ya sasa haina wapiga mashuti wa kuogofya
Haina watu wa kazi labda mmoja tu ngolo kante
Haina watu wanaojua kukaba na kuzuia mashambulizi
Niwatakie tu mchezo mwema ila kama shabiki wao sina imani
Wakifanikiwa hongera zao nyingi mno
Barcelona inaweza ikawa haijabadilika lakini chelsea imebadilika mnoMbona unakata tamaa mapema hivyo mkuu,?lakini pia hapo umeangalia Chelsea ya 2012 ,vip barca ya 2012 ya wakina xavi,marchelano,alves ni sawa na hii ya sasa?