The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
na lile ghost goal la Garcia ,Mou mpaka kesho hawezi kulisahau
Chelsea 4 Hull city 0
Giroud anafunga goli lake la kwanz tangu ajiunge na Chelsea, amepata a world class assist from Emerson. Alonso ajiangalie sana aisee!
Giroud:
3 matches. 1 goal 3 assists
Emerson is a talent, pale Chelsea tumenunua tena kwa hela ndogo. I hope hata plastic fans wa Chelsea watakuwa wamefurahi
napoona wanampira haswa wanaweka ushabiki pembeni na kuchambua soka, nafurahi sana!!!Inaonesha Huyo Shabiki Mwenzio Haelewi Kuwa Champion League Ni "Game Of Chance"...
Mkumbushe Kuwa Mwaka 2005 Liverpool Alifungwa na Chelsea kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Nyumbani na Ugenini, lakini Walipokutana na Huyuhuyu Chelsea Kwenye Champion League Nusu Fainali Liverpool alimtoa Chelsea na Kusonga Mbele Kwa Sababu ya Game of Chance na Liverpool akaitumia Chance.
Msimu huo Wa 2005 Liverpool Kwenye Ligi ([HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]) alikamata nafasi ya 5 nyuma ya Everton aliyekamata Nafasi ya 4! Lakini Liverpool Alibeba Kombe la Champion League.
Kwahiyo Champion League Ni Game of Chance na Ukiitumia Chance Vizuri basi Mutamfunga Barcelona kiulaini Kama Real alivyomfunga [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG].
eden kimario
Let us wait and seeLakini Hapokei hela ndefu Kama Sanchez Β£500K per week!!
Yeye mwache afunge na atoe MaAssists lakini Kwa Sanchez Tunauza Mijezi Kibao! π π π
Kuna wakati tunailaumu bodi kwa kununua wachezaji wa gharama ndogo ila kiukweli kuna kitu hatujakielewa vizuri. Sanchez vs Giroud ukiangalia wanavyocheza unashangaa sana. Na hata Van Djik wako 75M hajamfikia Chrostensen.Lakini Hapokei hela ndefu Kama Sanchez Β£500K per week!!
Yeye mwache afunge na atoe MaAssists lakini Kwa Sanchez Tunauza Mijezi Kibao! π π π
Kwa shabiki alieko tanzania kufurahia mauzo ya jezi du. Si tunapenda matokeo mazuriLakini Hapokei hela ndefu Kama Sanchez Β£500K per week!!
Yeye mwache afunge na atoe MaAssists lakini Kwa Sanchez Tunauza Mijezi Kibao! π π π
Mtu anayetoa assist inaonyesha sio mchoyo,Chelsea 4 Hull city 0
Giroud anafunga goli lake la kwanz tangu ajiunge na Chelsea, amepata a world class assist from Emerson. Alonso ajiangalie sana aisee!
Giroud:
3 matches. 1 goal 3 assists
Kuna wakati tunailaumu bodi kwa kununua wachezaji wa gharama ndogo ila kiukweli kuna kitu hatujakielewa vizuri. Sanchez vs Giroud ukiangalia wanavyocheza unashangaa sana. Na hata Van Djik wako 75M hajamfikia Chrostensen.
VVD who is that?Wewe umelewa Kweli!! Huyu Christensen Wako labda Kamzidi Nini VVD?
VVD alistruggle Mechi za Awali Kwasababu Alinunuliwa na Kuanzia Kucheza akiwa hajakaa na Timu akatengeneza mfumo...
Lakini Kwa sasa ameshatulia na Anacheza Defending ya Uhakika.
Christensen Wako Ni Level za Kina Lovren, Jones na Smalling! Lakini Kwa VVD atasubiri sana.
Wacha Kumfananisha [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] na mambo ya Kipumbavu.
VVD who is that?
Give me a break! Una maanisha yule wa paundi 75! Si alifungwa na swansea? Duu ushabiki saa nyingine laana
Ilikuwa umaluzie umalize tu "Ushabike saa nyengine ni laana kwa Mashabiki Wa Chelsea" yaani unampima Beki Kisa Liverpool imefungwa na Swansea??
Kumbe nyie Mashabiki Maandazi Bado Mupo?
Sasa Huyo Christensen Wako si alifungwa na:-
1) Arsenal
2) Bournemouth Migoli 3
3) Watford migoli 4
4) Hesabu inaendelea.....
Je tumuhesabu Hafai???
Nyie Watoto Wa 1995 muna matatizo Kweli!! Eti Beki Kafungwa na Swansea!! π π π
Hivi Wewe Dogo Unakumbuka AC Milan ya Carlo Ancheloti ikiwa na Beki Visiki Duniani Kwa Wakati Huo Kama Paulo Maldin, Nesta na Cafu ilifungwa Goli 4 kwa bila na Deportivo La Coruna Kwenye [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]? Je yuko anayethubutu kusema Maldin ni Mbovu Kisa tu alifungwa Nne bila? Sorry! Kumbe kipindi hicho ulikuwa Mwanafunzi Wa Chekechea!
Dogo elewa Hakuna Beki isiyofungwa Duniani Kwani Hata Hiero alifungwa na Real Yake.
Kufungwa na Swansea si Kigenzo cha Ubovu Wa Beki!
Yap! VVD ni Β£75m! Lakini Kwa Jinsi Alivyoituliza na Kuibadilisha Beki Yetu yote basi sisi Liverpool tunasema Wazi Kuwa basi hiyo Β£75m ni Bargain Kwetu! Jamaa anajua tena maajabu anacheza uzuri akiwa hana Kiungo Mkabaji (Defensive Midfielder) Wa maana Coz anacheza Hendo ambaye Hata hajui uwanjani jukumu lake ni Nini!!!
Lakini Kinachowauma Nyingi Nishakijua! Ni Wivu tu Kwasababu Aliikataa Chelsea na Kuchagua Liverpool!
Labda umesahau Kuwa Chelsea na Man City walikuwa Wakimtaka Kwa Bali Yoyote hile!!
Sasa Chelsea nao Walikuwa Wakimtaka Mchezaji mbovu??
Dogo jifunze Kureply kwa Wakubwa Zako.
Liverpool hata muunde timu namna gani nyie ni wasindikizaji tu na makombe mtamezea mate kama ubwabwa usio wakoIlikuwa umaluzie umalize tu "Ushabike saa nyengine ni laana kwa Mashabiki Wa Chelsea" yaani unampima Beki Kisa Liverpool imefungwa na Swansea??