Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dah naenda kwa kikao mtanihadithia extra time...

Makosa ya kocha....
 
Kila la kheri.. [HASHTAG]#ktbffh[/HASHTAG] [HASHTAG]#cfc[/HASHTAG]
 
Hah hah.. Nacheka kama mazuri vile, ngoja tusajili tu Carrol tumalize msimu
 


Ila hawa madogo wametutoa jasho...Willian leo lazima alale na viatu kwa uchovu

 





Hata Waspanyola wawili leo wameniangusha sana...ingawa kwa Morata sikuwa na mategemeo makubwa kwa leo!
 
Bado tunastahili kusema hongera kwa kwenda hatua inayofuata..NEWCASTLE...



My man of the match... I miss those days ambazo these games hatukuwa hata tunajua kama zinachezwa, tunaangalia FA kuanzia last 32 au 16 huko
 


ampadu kacheza vyema sana leo...anahitaji kuongeza kujiamini kidogo...ila yuko vizuri!
 


Leo ameonesha kuwa bado Moses anastahili kuanza kabla yake...

 


Kajitahidi leo ingawa bado kwenye holding the ball aisee...

 


Ni haki yake kushangilia...hilo Morata angeweza kukosa pia



 


Hii ya Willian na ile ya Morata sidhani kama ziikuwa dives hata kama refa na VAR zao zitasema hazikuwa that bad kuna penalties but they were not dives!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…