Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,155
EPL ni mojawapo ya makombe,sikulibeba....ila nilibeba makombe mengine mbele yako ww kibonde wangu...Kwani EPL ni kikapu au.? Aya basi ngoja nikurahisishie makombe ya EPL. Maana mnajitoa udahamu kweli
Hahahahaaaaa... [emoji122] [emoji122] [emoji122]si nilikufunga na ww???.... fa ni kombe dogo ama kubwa??
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu mi naongelea kwanza EPL. Huna cha kujitetea, *****EPL ni mojawapo ya makombe,sikulibeba....ila nilibeba makombe mengine mbele yako ww kibonde wangu...
EPL nn kwan mengine si makombe???[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] mkuu mi naongelea kwanza EPL. Huna cha kujitetea, *****
Mara ngap umechukua mbele yangu ukiacha mwaka jana.?EPL nn kwan mengine si makombe???
tena nayabebaga tu mbele yako dadeqqq!!!!!
Mara nyingi mno....nilichukua ngao ya hisani mbele ya mourinho...huko nyuma nilikuwa nakutwanga fainali hadi unatweta..Mara ngap umechukua mbele yangu ukiacha mwaka jana.?
Huo ndio ishindi wako mkubwa.. Unaona umewinMara nyingi mno....nilichukua ngao ya hisani mbele ya mourinho...huko nyuma nilikuwa nakutwanga fainali hadi unatweta..
Ndio....,nimewin kuwatwanga mijitu mikubwa ka nyie....Huo ndio ishindi wako mkubwa.. Unaona umewin
Narudia FA ni kokembe cha makombo kwa wale walioishiwa pumzi na EPL au UEFA. FA ni mojawapo ya unpopular competitation in Europe na ni wachache sana wanaoizungumzia na kuiwekea maanani na wengi wa hao ni The Gunners tu. Makombe maarufu Europe ni Kombe la ligi na UEFA, hizo zingine ni condolences trophies tuww zwazwa unasema fa ni makombo???...
nambie key player wako ambaye hakucheza mechi ya fainali dhidi ya arsenal....
nimekutana na mancity composed of all key players nimemnyuka ..
nimekutana na nyie zuzu's fainali,nimewasaga kama kawa....
punguza bange kijana,usivute kabla ya kupost,Bali vuta baada ya kupost akili iingie...
Mfyuuuuuuuuuuuuuuu!!! Kisa ww hulibebi?? Wacha kukurupuka ww...Narudia FA ni kokembe cha makombo kwa wale walioishiwa pumzi na EPL au UEFA. FA ni mojawapo ya unpopular competitation in Europe na ni wachache sana wanaoizungumzia na kuiwekea maanani na wengi wa hao ni The Gunners tu. Makombe maarufu Europe ni Kombe la ligi na UEFA, hizo zingine ni condolences trophies tu
Chelsea huwa wanaingizwa mkenge kwenye kusajili
Hebu pata burudani na ka video haka mkuu. Maana naona unatapatapa tu. BurudikaNdio....,nimewin kuwatwanga mijitu mikubwa ka nyie....
Hhhhhhhh nshavizoea sana hivyo vi clip.... Tulia tukunyoe tena hizo nywele..bakayoko atatusaidia...Hebu pata burudani na ka video haka mkuu. Maana naona unatapatapa tu. Burudika
Sanchez keshakuacha wewe.. Huna mvutoHhhhhhhh nshavizoea sana hivyo vi clip.... Tulia tukunyoe tena hizo nywele..bakayoko atatusaidia...
Diego Costa 3 appearance in ATM
2 goals
1 assist
1 red card