The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Mkuu kwangu mimi nimemuona Bakayoko kama usajili mzuri hata kama hajafanya sawa na mategemeo yetu mashabiki. Ila nakuhakikishia msimu ujao kila mtu atamkubali japo tunapungukiwa midfield mmoja, Alonso anahitaji msaidizi ili apate mtu wa kumsaidia, central midfield. Ampandu ajengewe uwezo maana yeye na Christensen wanatosha pale kati.Am not totally against Morata. Ila kwa sasa anahitaji ushindani na kwa kuwa Batshuayi ameshindwa kutoa hiyo changamoto ni vyema tukawatumia hawa washambuliaji wetu watatu vyema na Morata wakati anaendelea kuzoea ligi na kutafuta stamina atokee benchi wakati mabeki wameshachoka.
Akiwa fit msimu ujao wala sioni haja ya kuongeza striker. Tunahitaji tu kuboresha midfield yetu maana Fabregas muda umemtupa mkono. Mtu tunayemhitaji kucheza na Kante ni mix ya Matic na Fabregas yaani anajua defence na ni mzuri wa kushambulia.
Na huu ni mtazamo wangu.
Sijui kwanini hatumpi nafasi Kenedy kama tulivyofanya kwa Christensen anaweza sana yule Chalii.
Naona wamekusikia...shida ni nani anatoka????Kuna haja ya Willian kuingia mapema kipindi cha pili.
Hana maisha marefu nafasi ileMan U natakiwa atupishe pale Namba mbili
Na leo vipi bado umemiss costa? [emoji2]Mimi niliwamiss Drogba na Costa!
Morata kwangu awe anatokea benchi mpaka msimu ujao.
Hawa si ndio walicheza match na Everton bila kufunga bao japo nafasi walipataWillian, Hazard, Pedro.
Alafu kuna watu wanasema Conte aondoke ili aje mzee yule aliyetimuliwa Real na Bayern kwa sababu ya kushindwa kuleta matokeo tegemewaTimu yetu kiukweli inacheza kandanda safi sana hivi sasa
Conte akishuhulikia mipango kule mbele namna ya kuwatoka wapaki mabasi tutatisha sana
Kwa sasa kupiga pasi na kuumiliki mpira sio kitu tena kwa chelsea hii ya conte
Hata kama conte ataondoka lakini sihitaji kumuona Ancelote akirudi chelseaAlafu kuna watu wanasema Conte aondoke ili aje mzee yule aliyetimuliwa Real na Bayern kwa sababu ya kushindwa kuleta matokeo tegemewa