Daah cjui conte cahill anampendea nn??
Kuna goli tulikuwa tunafungwa la nne sababu ya cahillCahill kafanya kosa gani?>?????
Nimegundua watu tuna chuki binafsi tu na Cahill. Mtu pekee ambaye nitampanga mbele ya Cahill ni Azpilicueta. Hao wengine wote - Luiz, Rudieger, na Christensen - wanakaa benchi mbele ya Cahill.
Halafu cha kushangaza, Cahill kafanya kosa moja ambalo halikusababisha goli ila Goli mbili za leo ni makosa ya Azpilicueta (labda goli la Kolarov lawama wanaweza ku-share na Zappacosta) ila sioni mtu akimsema Azpi.
Acheni hizo, Cahill is a good defender KWA KULINGANISHA na mabeki wengine tulionao. We can get better defenders huko mbeleni. Christensen akipata game pia ana-improve.
Mfano mwingine wa hili goli alilofunga Kolarov, angekuwa Cahill pale angejilaza angeweka mwili kujaribu kuzuia, ila umeona alichofanya Christensen!??? Muacheni Cahill aisee. subirini afanye kosa vivid ndo mumseme sio kila siku mnatokwa povu tu kumponda. HE IS THE CAPTAIN for a reason!!!!
Mtu wa kwanza kumfukuzisha conte Darajani ni cahili
Rudiger, christensen, aspiliqueta
Au luiz,rudiger,aspiliqueta
Kinyume na hapo safari ya conte Darajani ni fupi mno
1. Kuna goli tulikuwa tunafungwa la nne sababu ya cahill
2. Ukabaji wake wa kumpa adui nafasi ya kuja haujawahi kunifurahisha
3. Halafu kuhamasisha wachezaji kuipigania team kama alivyokuwa Tery hawezi
Kiufupi team imekosa kiongozi mhamasishaji ndio maana nilitaka kitambaa apewe hata luizi
Hao Liver mechi moja tu (vs City) waliruhusu bao 5 sasa sijui unataka kuongea nini
Kwahiyo ukiwa pungufu ndo nn?CL is pia walifunga mbili
Mm 5 nilipigwa na maestro Pep nikiwa pungufu wakiwa kwake!
Ww 3 na Roma kweli tena kwako?
Mkuu hawa pundits siyo watu wa kuwaskiliza sana hawa ni benderea fata upepo tulivyoshinda game ya Atletico huyo Gerrard alisema hakuna timu iliyowahi kuperform kama vile katika uwanja wa Atletico miaka ya karibuni hata Barcelona na Real Madrid hawajawahi ukumbuke katika hiyo timu anayosemea Bakayoko alikuwepo na alicheza dakika zote 90+ Leo baada ya draw anaquestion kwanini Chelsea walimuuza Matic kwa Bakayoko?Hadi Gerrard katusaidia kusikitika leo...kilichotufanya kumuuza Matic kisa Bakayoko sijakijua bado!!!! Age notwithstanding bado Matic is way better than Bakayoko!
Anatualibia❌WAKUU MINAONA CONTE KAMA ANATUALIBIA TIMU THIS IS IMPOSSIBLE YANI NYUMBANI KABISA
Kuokoa hiyo ni kazi yake hata ww leo ukapewa goli ukaambiwa kaa udake, lazima kuna utakazosave........Kipa hatuna kwa uthibitisho upi?
Kaokoa mangapi?
Goli gani pale la kumlaumu kipa?
Hahaha mkuu hapo hamna kitu umeongea yaani nimekuuliza swali tu goli gani ambalo unaweza kumlaumu pale kipa kwamba ni uzembe wake?Kuokoa hiyo ni kazi yake hata ww leo ukapewa goli ukaambiwa kaa udake, lazima kuna utakazosave........
Huwezi jua nachokisema ila its the matter of tym utakuja kujua kuwa tuna kipa mbovu!!
Angalia mashut y mbali yakipgwa anaporuka na mipira unapokua, jana roma wangeweza kila shuti likalenga goli tungekula hata nane.
WAKUU MINAONA CONTE KAMA ANATUALIBIA TIMU THIS IS IMPOSSIBLE YANI NYUMBANI KABISA
1. Tumefungwa magoli mawili kwa errors za Azpilicueta leo, what do you say about that? Goli la Kolarov angekuwa Cahill/Terry angejilaza/jitupa mwili mzima, ila Christensen kakwepa kabisa, what do you say about that?
2. Has he been effective? amecheza hivyo miaka mingapi na bado yupo first eleven ya Chelsea na England...what do you say about that?
3. Hapo nakubaliana na wewe. Kwa mtazamo wa uwanjani. Huenda his influence nje ya uwanja ni zaidi...????