Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #39,561
CHELSEA SEAL £33M RUDIGER DEALCHELSEA IN TALKS TO SIGN RUDIGER
Chelsea are in talks with Roma for defender Antonio Rudiger, according to Sky in Italy.
The Blues have declined to comment on the report.
View attachment 533162
atamreplace nani pale chelseaHuyu beki yuko vizuri
Shughuli yake naiona huko kwenye michuano ya mabara(confederation cup)
atamreplace nani pale chelseaHuyu beki yuko vizuri
Shughuli yake naiona huko kwenye michuano ya mabara(confederation cup)
Nadhani beki wa kati yeyote anaetafutwa muda huu ni wa kumuondoa Cahil taratibuatamreplace nani pale chelsea
Hua anauwezo wa kucheza nafasi mbili tofautiatamreplace nani pale chelsea
au ataanzia benchi
Cahili mi sijawahi kumkubali kabisaatamreplace nani pale chelsea
kuna magoli mengi ya muhimu alitufungia pamoja na mapungufu yakeCahili mi sijawahi kumkubali kabisa
waandishi wa huko ulaya nao ni wadakuNimeona habari kumbe Conte anamtaka Belloti huku Emenalo anamtaka Lukaku.
vipi kuhusu wachezaji wa kiingereza endapo cahil akiondolewa sheria inasemaje?Nadhani beki wa kati yeyote anaetafutwa muda huu ni wa kumuondoa Cahil taratibu
bonnucWachezaji gani over 30 ambao Conte ametaka kuwasajili?
Zile nyeusi walizokuwa wanavaa zilinikera sanaCHELSEA WAZINDUA JEZI MSIMU WA 2017/18
Chelsea wamezindua jezi zao mpya za msimu wa 2017/18 ambazo zinadhaminiwa na kutengenezwa na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike. ushirikiano wa Nike na Chelsea waja baada ya Chelsea kukatisha ushirikiano wake na kampuni nyingine ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Adidas.
View attachment 533574
Kama kawaida jezi za blue ni za nyumbani, jezi nyeupe za ugenini
View attachment 533575
View attachment 533576 View attachment 533578
Zile nyeusi walizokuwa wanavaa zilinikera sana
Bora nyeupe ugenini