Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #39,521
Mkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.Yaani tunge pata hawa
1.sandro
2.andrea belott/lukaku
3.michael antonio
4.mahrez
5.beki ya kati ya maana
6.matic out bakayoko in
Natangaza ubingwa day one
Ndivyo ilivyo hiyo huwa sijui kwanini hatuwapi nafasi madogo halafu mwisho wa siku tunawataka tena kwa mkwanja mrefu.Mkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.
Kwanini tusimtengeneze Chalobah wakati tunamtayarisha Matic kuondoka. Au kwanini tusimtengeneze Ake wakati tunatayarisha kumundoa Cahil njiani.
Maana wachezaji kama Bakayoko wamepewa nafasi ndio maana wako vizuri. Mwisho wa siku utakuta tunaanza kutaka msajili mchezaji tuliemuuza wenyewe. Mfano Lukaku huyu. Nina wasiwasi kama Chalobah atabaki au ataongeza mkataba wakati unapoisha baada ya msimu mmoja. Na hawa madogo Ake (endapo ataondoka), Christensen (kama nae hatapata nafasi na kuondoka), Solanke au yule Thogan Hazard unataja sikia twawataka baadae.....
Kweli kabisa, maana imebidi nimfuatilie Bakayoko kwa makini na nimfuatilie Chalobah pia (japo yeye anamechi chache) lakini potential is there anahitaji nafasi tu na pengine anaweza kuwa hata zaidi ya Bakayoko.Ndivyo ilivyo hiyo huwa sijui kwanini hatuwapi nafasi madogo halafu mwisho wa siku tunawataka tena kwa mkwanja mrefu.
Huyu Lukaku hana tofauti na Batshuay ni kumpa nafasi tu aoneshe uwezo tuachane na lukaku mbadala wa Costa kuna Moratta na Belloti .
Si kila mwenye miaka 22 ni bora kuna wengine umri wa miaka hiyo bado hawajionyeshi kuwa ni mastaa wa sokaMkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.
Kwanini tusimtengeneze Chalobah wakati tunamtayarisha Matic kuondoka. Au kwanini tusimtengeneze Ake wakati tunatayarisha kumundoa Cahil njiani.
Maana wachezaji kama Bakayoko wamepewa nafasi ndio maana wako vizuri. Mwisho wa siku utakuta tunaanza kutaka msajili mchezaji tuliemuuza wenyewe. Mfano Lukaku huyu. Nina wasiwasi kama Chalobah atabaki au ataongeza mkataba wakati unapoisha baada ya msimu mmoja. Na hawa madogo Ake (endapo ataondoka), Christensen (kama nae hatapata nafasi na kuondoka), Solanke au yule Thogan Hazard unataja sikia twawataka baadae.....
Ukitaka mchezaji mdogo ajimini na kukupa utakacho kama kocha lazima umtengeneze. Sidhani kama huyu Bakayoko angekuwa hivyo na kocha wengine kumuona kama asingepewa zaidi ya nafasi 25 alizopewa akiwa Monaco. Na wakati huo huo Chalobah kapewa nafasi ngapi akiwa Chelsea? Bakayoko alianza kama alivyokuwa Chalobah akiwa Rennes.Si kila mwenye miaka 22 ni bora kuna wengine umri wa miaka hiyo bado hawajionyeshi kuwa ni mastaa wa soka
Kwa chalobah bado hajiamini kama anatakiwa kuwa katika team kubwa
Ila kwa bakayoko ameonyesha yeye ni star mkubwa japo ana miaka 22 kama chalobah
Chalobah anapata nafasi ila haonyeshi
Kuna team za kuwapa nafasi wachezaji chipukizi sio chelsea ambayo inataka mataji makubwa makubwaUkitaka mchezaji mdogo ajimini na kukupa utakacho kama kocha lazima umtengeneze. Sidhani kama huyu Bakayoko angekuwa hivyo na kocha wengine kumuona kama asingepewa zaidi ya nafasi 25 alizopewa akiwa Monaco. Na wakati huo huo Chalobah kapewa nafasi ngapi akiwa Chelsea? Bakayoko alianza kama alivyokuwa Chalobah akiwa Rennes.
Ila timu ikionyesha kukuamini lazima nawe utafanya ya ziada. Haya na Ake nae hajiamini? Sasa hivi wanataka kumuuza Bournemouth na kuweka kipengele cha kununua tena (buy-back option).
Kwani mbona timu kama Madrid inawapa nafasi watu kama Asesio, Barcelona inawapa akina Sergio wale na wanafanya vizuri tu Bayern Munich nao unaonaje. Its all about faith Mkuu na mfumo wenu wa timu. Timu yetu haiwapi nafasi vijana hata kidogoKuna team za kuwapa nafasi wachezaji chipukizi sio chelsea ambayo inataka mataji makubwa makubwa
Kama unataka wapewe nafasi basi usidai ubingwa wowote ule tukubaliane hapo
Sisi tutaangalia waliokomaa tayari ili waje kuisaidia team kutwaa mataji
Chelsea ni team ya mataji makubwa na kama ni hivi basi hatuhitaji kuwapa chipukizi nafasi bali kununua ambao wamekomaa katika team nyingine
Hao chalobah Ake sijui aina wauzwe tu ila tuweke hicho kipengele kama akija kuwika tuwe wa kwanza kumnunua
Hii ni team ya mataji makubwa sio kujaribu chipukizi na tungewachezesha hao unaosema hata ubingwa wa league tungeusikia tu
Kwani mbona timu kama Madrid inawapa nafasi watu kama Asesio, Barcelona inawapa akina Sergio wale na wanafanya vizuri tu Bayern Munich nao unaonaje. Its all about faith Mkuu na mfumo wenu wa timu. Timu yetu haiwapi nafasi vijana hata kidogo
Tatizo kubwa lipo board na kocha wao Jose Mou (pindi anapokuja Chelsea huuza majembe yote then mwisho wa Siku pesa ndefu hutumika kuwarudisha)Mkuu masijala na mashabiki wote wa Chelsea nyie mnalionaje hili la kumsajili Bakayoko ambaye ana umri sawa na Chalobah na wanacheza mchezo na nafasi ambazo ni sawa kabisa.
Kwanini tusimtengeneze Chalobah wakati tunamtayarisha Matic kuondoka. Au kwanini tusimtengeneze Ake wakati tunatayarisha kumundoa Cahil njiani.
Maana wachezaji kama Bakayoko wamepewa nafasi ndio maana wako vizuri. Mwisho wa siku utakuta tunaanza kutaka msajili mchezaji tuliemuuza wenyewe. Mfano Lukaku huyu. Nina wasiwasi kama Chalobah atabaki au ataongeza mkataba wakati unapoisha baada ya msimu mmoja. Na hawa madogo Ake (endapo ataondoka), Christensen (kama nae hatapata nafasi na kuondoka), Solanke au yule Thogan Hazard unataja sikia twawataka baadae.....
Kweli kabisa, maana imebidi nimfuatilie Bakayoko kwa makini na nimfuatilie Chalobah pia (japo yeye anamechi chache) lakini potential is there anahitaji nafasi tu na pengine anaweza kuwa hata zaidi ya Bakayoko.
Kuhusu Lukaku hata mimi bado sijaafiki kumrudisha, sio mchezaji wa mechi kubwa. Ni bora mara kumi aje Morata au tumuache Batchuayi tu nunua winga mwingine kama James tuwe tunacheza na false 9 muda mwingine ambapo Hazard au Pedro wapo vizuri tu. Mbaya zaidi sidhani kama Lukaku ni chaguo la kocha. Ila kama ni chaguo lake tusubiri tu tuone itakuwaje.
Ila hawa vijawa wetu wadogo naona kabisa watapotea wote au watatufanyia kama Solanke, watagoma kusaini mikataba mipya watasubiri iishe waondoke free.
Naona twauza na kununua
Ila Fab aachiwe nafasi yake
Nitafurahi tusipomsajili yule Lukaku