Huyo ndo Mourinho kaka, Mikhy anakaa kama namba tatu, Mata kama center half. Na hapo bado utaona akina Carrick na Fuso-Mensah au Jones anaingia
Kwangu traore bado kama miaka 2 ye aende kwa mkopo tuUnamuangalia Traore lakini!??
nasikia kijana anauzwa hela nyingi sanaHapo dogo mbappe wa monaco anatufaa
Japokuwa madrid washaanza unafiki
ameikosti timu, hana nguvu pia anapoteza mpira kilaisi mno akicheza vile chelsea atatuua na preshaKwangu traore bado kama miaka 2 ye aende kwa mkopo tu
ameikosti timu, hana nguvu pia anapoteza mpira kilaisi mno akicheza vile chelsea atatuua na preshaKwangu traore bado kama miaka 2 ye aende kwa mkopo tu
nakawa najiuliza ni kwanini man u inatoa droo nyingi kumbe sababu ndiyo hiiHuyo ndo Mourinho kaka, Mikhy anakaa kama namba tatu, Mata kama center half. Na hapo bado utaona akina Carrick na Fuso-Mensah au Jones anaingia
vip atauweza mziki wa epl mkuu?Na huyu beki Sanchez...vipi akija kumpokea kijiti Cahill...
ukiwa na traore kama forward nafasi ya 6 itatuhusuHeri tuwarudishe kina Tammy au Traore!
mkuu@kunguru traore bado hana nguvu sidhani kama atasaidia pia hana impact anapenda chenga sana ambazo hazisaidiiSasa mkuu Mentor shida inakuja pale ambapo Chelsea hawawezi kumuamini kama Striker wao. Na hata wakisema atokee pembeni hakuna nafasi yake yaani. Hivyo akirudi anaishia kukaa benchi tu.
Sijui tumfanyaje huyu dogo aisee ila ni bonge la kifaa sana.
hahaha @Masijala,yaani traore ndiyo awe forward wa chelsea hahaha mziki wa epl unahitaji udikiteta kijana bado ngoja aongezeke kimbinuMkuu Wewe umenena, hasa traore ameshakua kisoka na physically Na hiyo uropa i hope imempa experience he is a deal for sure
hahaha @Masijala,yaani traore ndiyo awe forward wa chelsea hahaha mziki wa epl unahitaji udikiteta kijana bado ngoja aongezeke kimbinu
Jamani wanabluuuuz hivi tukifanikiwa kuchukua FA pia itakuaje kwenye ya ufunguzi yaani community shield?
bushuayi ktk mechi alizopangwa kwa dakika nyingi hivi karibuni unajua amefunga goli ngapi?nadhani hujanisoma. sisemi aje kuwa first choice striker. ila kuliko Batshuayi ni heri yeye.
bushuayi ktk mechi alizopangwa kwa dakika nyingi hivi karibuni unajua amefunga goli ngapi?