chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,495
tunahitaji mshambuliaji mmoja tu kwa nafasi nyingine ulizozieleza mahitaji ni sahihi.Nani alijua marcos alonso atakuwa star ndani ya team
Nani alijua Moses atakuja kuwa mchezaji muhimu ndani ya team
Nani alijua ubora wa Ng'olo kante kwamba atafiti katika team ya chelsea
Maana yangu ni kwamba conte sio muumini wa majina wala muumini wa kununua wachezaji wa bei gali bali anaweza kununua mchezaji kama atahisi huyu anamfaa katika mfumo wake
Kama ni star na anauzwa gali na anaona atamfaa kwenye mfumo wake atamnunua pia
So muhimu tunahitaji mabeki 2
Kiungo mchezeshaji mmoja na washambuliaji wawili bila kusahau kiungo wa kukaba na kipa wa viwango wa kumsaidia bwana mdogo pale
Nafikiri angekutana na conte asingeenda kwa mkopo juve jamaa ni bonge la mchezaji nafikiri mifumo ya makocha aliowakuta chelsea imemfanya aonekane hana thamani ndani ya chelseaMchezaji wa Chelsea aliyekuwa akicheza kwa mkopo katika club ya Juventus, Juan Cuadrado amesaini mkataba wa kudumu na club hiyo.
Club ya Juventus imedhibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, na kusema Cuadrado amesaini mkataba wa kudumu na Juventus mpaka 2020.
View attachment 513115
Alikutana nae Mkuu, walikuwa wote pre-season ya msimu huu. Nafasi yake Conte alisema ni wing-back ambapo anacheza MosesNafikiri angekutana na conte asingeenda kwa mkopo juve jamaa ni bonge la mchezaji nafikiri mifumo ya makocha aliowakuta chelsea imemfanya aonekane hana thamani ndani ya chelsea
Juve anafanya poa sana
Hongera kwake
Hapo dogo mbappe wa monaco anatufaatunahitaji mshambuliaji mmoja tu kwa nafasi nyingine ulizozieleza mahitaji ni sahihi.
Nimesema hivyo tunahitaji mshambuliaji mmoja kutokana aina ya mfumo wetu ambao hautegemei moja kwa moja mainstrike kufunga sana mfumo wetu unategemea winger kufunga
Nimeona leo mkurugenzi wa AS monaco amesema mbappe atakaa msimu mmoja zaidi kabla hawajuruhusu auzwe.Hapo dogo mbappe wa monaco anatufaa
Japokuwa madrid washaanza unafiki
Hivi kweli mshambuliaji tunayemtaka awe mbape i think morata zaidi kuliko yoyoteHapo dogo mbappe wa monaco anatufaa
Japokuwa madrid washaanza unafiki
Hivi kweli mshambuliaji tunayemtaka awe mbape i think morata zaidi kuliko yoyote
Mkuu Wewe umenena, hasa traore ameshakua kisoka na physically Na hiyo uropa i hope imempa experience he is a deal for sureHeri tuwarudishe kina Tammy au Traore!
Tunataka washambuliaji wenye uzoefu sio ili mradi mshambuliaji ndio maana nawataka sana Adrea belote na alvaro morata
Huyo ndo Mourinho kaka, Mikhy anakaa kama namba tatu, Mata kama center half. Na hapo bado utaona akina Carrick na Fuso-Mensah au Jones anaingiaIla dogo ame-mature..hii dribbling hakuwa nayo kabla!
Ila hapo ndo unapomkubali Mourinho aisee...sio kwa basi hili analolipaki..mpaka half time Valencia kapanda mara moja tu! Mata utadhani ni central defender. Asipofanya hivyo ataumia lakini so ni sawa tu, mbinu yoyote alimradi ushindi!!!