Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,731
- 3,527
Acha uchizi mkuu,Mimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.
Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
Kabisa mkuuUlikuwa uamuzi wa hatari sana! Imagine Spurs kabla ya hizo sub (Hazard, Diego & Fab) angetufunga magoli ya kutosha; je, tungeweza kuyakomboa baada ya hizo sub? Anyway kwa vile uamuzi ule umeleta matokeo positive, basi Conte anastahili pongezi!
Mkuu hata mim nilitamani sana tukutane na Arsenal na ombi langu limetimia. Sasa tusubiri tarehe 27 May. Kwenye final ya Fa Cup.Mimi kwa leo natamani sana Arsenal ashinde jamani.
Mtanisamehe blues wenzangu lakini leo nitakuwa ninashabikia Arsenal. Baada ya muda nitahamia jukwaani kwao. Watafanya fainali yetu iwe rahisi kuliko kukutana tena na Guardiola..Silva..De Bruyne!!!
Haaaaaaa. Kwetu tunayaita mututu........27 May. Baada ya kukabidhiwa kombe letu la Epl. Chamsingi Conte hasiwaruhusu vijana kusherekea kabla ya Final.Haya sasa Arsenane wamejileta wenyewe kwenye mdomo wa mamba...!!!
Antonio Conte Hebu niandalie zile silaha za Nchi ya Korea Kaskazini.
Congratulations Ng'olo Cante you deserved it. [HASHTAG]#PFA[/HASHTAG] player of the year 2016/2017#I'm really proud for such a honour! It's so amazing. But as I always said, it's a team work and today with this trophy, I just want to thank my teammates, all the Chelseafc and all the fans.
Je suis très honoré par ce prix, c'est tellement incroyable. Comme je l'ai toujours dit, c'est un travail d'équipe. Aujourd'hui avec ce trophée, je tiens à remercier tous mes coéquipiers, les membres du Chelseafc ainsi que tous les fans.
kauli zao ni bora tukose woteHalooo ze bluuz. Hivi jamani hawa washabiki wa man u tamewafanyia nini? . siku tunacheza na spurs walitupigia kelele ukumbini kila tukishambuliwa mpaka basi. Nashukuru mungu mwisho wa siku waliondoka ukumbini kama kifaranga aliyemwagiwa uji wa mtoto
Mmmm wao wenyewe wanaweza wakakosa both europa and top 4kauli zao ni bora tukose wote
Haaaaaaa. Mim nilikaaa n.a. wawili ivi aiseee ilikuwa fujo balaa. Baada ya mpira kuisha akatoka kimya kimya n.a. hasira juu. Ikabidi nitoe cheko la kilioHalooo ze bluuz. Hivi jamani hawa washabiki wa man u tamewafanyia nini? . siku tunacheza na spurs walitupigia kelele ukumbini kila tukishambuliwa mpaka basi. Nashukuru mungu mwisho wa siku waliondoka ukumbini kama kifaranga aliyemwagiwa uji wa mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii fainali ya FA ngumu sana...maanake akishinda Arsenal tabuuu, akishinda Chelsea shidaaa....anyway kikombe cha mbuzi tu hakina mpango!
wawe watarabu tu wakienda kuangalia mpira ule ni ushambaHaaaaaaa. Mim nilikaaa n.a. wawili ivi aiseee ilikuwa fujo balaa. Baada ya mpira kuisha akatoka kimya kimya n.a. hasira juu. Ikabidi nitoe cheko la kilio
Alaaah kumbeee!!! Aiseeee Mou embu kazana kufanya ushirikina Europa tuchukue,EPL tuchukue,mwakani vikombe vyote tuchukue hadi UEFA,aiseee kwa dizaini hii nami kuanzia leo nitakuwa mshirikina tupate makombe yote kila mwaka!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]united hawana kikosi cha kumfunga chelsea,ushirikina wa mour ndio uliofanikiwa kuwafunga chelsea.