Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #37,961
asante kama na wewe umeonaKwa anachofanya Spurs huku, tunahitaji kuanza kufunga magoli mengi sana kwenye mechi zetu. Tukuanza na hii ya leo.
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Aswaaaa maana hawa spurs hawataniii wanachapa kweli kweliKwa anachofanya Spurs huku, tunahitaji kuanza kufunga magoli mengi sana kwenye mechi zetu. Tukuanza na hii ya leo.
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
hawa jamaa hawatuachi tukapumuaAswaaaa maana hawa spurs hawataniii wanachapa kweli kweli
Ni sawa ila tusichezee nafasi wala kuridhika kwa magoliCha maana ushindi tu hata ikiwa 1 - 0