Vipi zimetimia hizo Tatu?, Ngoja nikuulize kitu kaka, mbona unapenda kujitesa hivyo ndugu yangu? Kwa nini unajinyima raha kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Wewe kila siku unasema leo ndio mwisho wenu, wiki ijayo ndio mwisho wenu, lakini mwishowake unabaki na maumivu na sononeko kuu la Moyo, soma alama za nyakati kaka, Chelsea ni Unstopable msimu huu,
Ngoja nitangulize pole yangu, hapo Jogoo atakapochinjwa na Leicester City
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa ubingwa wa utoe wapi wakati hata sub hawana?! Wamemtoa mane wakaweka moreno, wakamtoa lucas wakaweka woodburn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya nani hao ni liverfools kweli maana hawajui hata wako level gani!!!Kwisha habari yao
Sitegemei kusikia wakiota ubingwa
Nategemea kusikia wakiota big 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] sasa ubingwa wa utoe wapi wakati hata sub hawana?! Wamemtoa mane wakaweka moreno, wakamtoa lucas wakaweka woodburn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya nani hao ni liverfools kweli maana hawajui hata wako level gani!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ni hatari aisee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndo ile ya debe 1 la mahindi kwa ng'ombe mmoja
hazard kachora tatoo?
Fulham Tattoo Centre posted a photo of Eden Hazard on their Instagram page on Wednesday
They captioned the post: 'Chelsea's main man popped in today @hazardeden_10 for a 4 hour session. First of many. Started a half sleeve.
'Top man, top banter and top top player. He ain't going nowhere by the way Chelsea fans.' Make of that what you will.
Read more: Eden Hazard enjoys four hour tattoo session | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Alitakiwa a sign mpaka 2022 hapo 2021 ndo atakuwa anagota 30 na chelsea na policy yao ya ku sign under 30 huenda ikamuathiriCongratulations Victor Moses! The 26-year-old has today signed a new contract with the Blues which will run until 2021!
Dah Ngolo anakwangua Anga,huyu ndugu atakuja kuwa mchezaji maarufu hapo mbeleni...1. PL Player of the year - NGOLO KANTE
2. Manager of the year - Antonio Conte
3. Young playér of the year - Dele Alli
4. Goalkeeper of the year - Hugo Lloris
5. EFL player of the year - Tom Cairney
6. Outstanding Contribution to London Football Frank Lampard.
Hizi ni tuzo za mwaka jijini London.... Hivi ile timu yetu si ipo London au nauliza tu ? Maana hata tuzo za ng'olo kante zilikuwepo London.
Mkuu mbona ashakuwa maarufuDah Ngolo anakwangua Anga,huyu ndugu atakuja kuwa mchezaji maarufu hapo mbeleni...
Vipi zimetimia hizo Tatu?, Ngoja nikuulize kitu kaka, mbona unapenda kujitesa hivyo ndugu yangu? Kwa nini unajinyima raha kwa vitu vilivyo wazi kabisa? Wewe kila siku unasema leo ndio mwisho wenu, wiki ijayo ndio mwisho wenu, lakini mwishowake unabaki na maumivu na sononeko kuu la Moyo, soma alama za nyakati kaka, Chelsea ni Unstopable msimu huu,
Ngoja nitangulize pole yangu, hapo Jogoo atakapochinjwa na Leicester City
Kaka Malafyale uliisoma hii