Conte alienda kufanya u-spy kwasababu hivi karibuni England na Italy zitakwaana. Sasa alitumwa na waitaly kufanya u-spyZipo tetesi kwamba Konte ameenda kupata ushauri kutoka Rugby team. Nini kipo nyuma ya pazia?
Antonio Conte: Chelsea boss meets England rugby union coach Eddie Jones
Jumatatu mna BIG match mkuu, mjipangaje??Leo mnazidi punguza gap
Swansea humfungi
Ogopa sana kukutana na timu ambayo imetoka kumfukuza kocha wakeLeo mnazidi punguza gap
Swansea humfungi
Mna mnywa tatu?Mazee leo tuna mnywa mtu tatu. ..nani anabisha.
Mkuu una upendeleo sana mbona kwenye kuripoti?Chelsea FC 1 - 0 Swansea City
Fabregas 19'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi mkuu zimetimia?Mna mnywa tatu?
Basi sawa