Nimecheka sana. Peter malemaHivi vile vikosi vya ECOWAS Vilivyomwondoa Jammeh pale Gambia kwanini visitumike kumwondoa yule jamaa aliye ng'ang'ania ile nafasi ya 6 pale EPL??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ataondokaje nafasi hiyo wakati ndio jina lake? Mani 6!!!!Hivi vile vikosi vya ECOWAS Vilivyomwondoa Jammeh pale Gambia kwanini visitumike kumwondoa yule jamaa aliye ng'ang'ania ile nafasi ya 6 pale EPL??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa mbna kama wamejitenga? Weusi wenyewe weupe wenyewe! Au ni macho angu mazee...!! Ila all in all timu bado iko njema sanaaTEAM BONDING - DINNER
Clockwise: Cesar Azpilicueta, Diego Costa, Kenedy, Victor Moses, Ruben Loftus-Cheek, Nathan Ake, David Luiz, Willian, Ola Aina, Nathaniel Chalobah, Marcos Alonso, Pedro and Thibaut Cortois
Apo Chelsea tuna uwakika wa point 40-35 izo ni uwakika. Izo nane zilizobaki zitakuwa za diroo tuu ...bishaaNdugu, kila timu ina wakati mgumu kipindi hiki cha lala salama!
1. Kuna wanaotafuta ubingwa
2. Kuna wanaotafuta nafasi ya kucheza UEFA ligi
3. Kuna wanaotaka kukwepa panga la kushuka daraja
Nina uhakika kwenye mechi 16 zilizobaki hakuna timu itakayonyakua pointi zote 48! Chelsea, Arsenal, Spurs, Liverpool, Man City, Man U, nk. wote wata-drop points!
Wata-drop pointi kwa nani, hapo sasa ni swala na kusubiri dakika 90 za mchezo ziishe!
Hawa ni wetu. Wapende wasipende...usiwe na haraka mkuu tumalizane na hao madogo wa Brentford siku ya besdei yangu kwanza.hawa maliverpool tusipowafunga hiyo tr 31 sijui tutawapiga lini yaani hivi sasa kila mtu anajipigia
hiyo mechi ni liniHawa ni wetu. Wapende wasipende...usiwe na haraka mkuu tumalizane na hao madogo wa Brentford siku ya besdei yangu kwanza.
Uzuri hiyo mechi madogo wote watatupiwa ndani.
Natamani kama Kennedy angekuwa fully fit aanze na yeye left back.
Begovic; Ola Aina, Terry, Zouma; Nathan Ake, Chalobah, Fabregas, Ivanovic; R. Loftus Cheek, Batshuayi, Willian.
SUBS: Courtouis, Azpilicueta, V. Moses, Hazard, Costa, Pedro.
NB:
Hapo kwa subs ukitoa kipa wengine wote wana uwezo wa kucheza nafasi zaidi ya moja.
Tarehe 28hiyo mechi ni lini
Hiyo kazi mwachie cole man wa everton, lazima achangamkie fursa ya kumshusha mtu[emoji2] [emoji2]Hivi vile vikosi vya ECOWAS Vilivyomwondoa Jammeh pale Gambia kwanini visitumike kumwondoa yule jamaa aliye ng'ang'ania ile nafasi ya 6 pale EPL??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kupumzika siku 2! mmhTarehe 28
Wala sio shidakupumzika siku 2! mmh
Lfc imecheza jana, na tarehe 28 wanakutana na Wolverhampton Wanderers na sisi siku hiyo tutakua uwanjani. Sasa wote tutapumzika siku 2 ndio tukutane.kupumzika siku 2! mmh
Wala sio shida
Sahihi kabisa. Safari itatuchoshaI guess disadantage yetu ni kuwa itatubidi kusafiri kwenda kwao. So uchovu utatofautiana.
Itahitajika akili kubwa ku-balance kikosi cha tarehe 28 ili wachezaji wengi wawe fit (tar 31) lakini pia kikosi hicho cha tar 28 kiwe balanced!
Hofu yangu yasitukute kama ya EFL cup tulipotolewa na wagonga nyundo "the Hammers" October 2016!Kuna uwezekano mkubwa Courtois akaanza hiyo game ya tarehe 28 kwasababu Begovic muda wowote anaweza kutimka. So kocha kumpanga kipa no 3 inakua shida kidogo.
Moses, Alonso, Azpilicueta, Luiz, Kante, Matic, Hazard, Costa. Hawa wote wataanzia benchi kwa ajili ya kuwasubili liverpool. Pedro yeye anaweza kuanza.