Kama umeoteshwa kalou. Nilikuwa na washabiki wa arsenal, Liverfool na Manfogo aiseeee hawa watu wanashida sana. Mara leo chelsea anaogea magoli 2 bila mara 4 bila. Leo diego hayupo wakawa wanasopoti sana costa aende china. Mim nawacheki tu. Kilichowatokea wanajua wenyewe.Walikuwa wamejipanga kuja ku comment hapa lakini ndo hivyo tena, 3-0 unakuja kusema nini kwa mfano, ngoja tuendeleze kale kamsemo ketu
Mind the Gap
KTBFFH
kuchapiwa ni siri ya ndaniConte kasema costa n injury
mambo yakienda vizuri huyu bwana atachukua kombe msimu huu tena
Nilipenda ambavyo mashabiki wa Leicester walivyoshangilia pale ambapo mtangazaji alipotaja jina lake kwenye line-up ya Chelsea.
[HASHTAG]#sportsmanship[/HASHTAG]
Sababu ya Ranieri kupanga 3-5-2 leo ilikuwa kupunguza nguvu ya Kante. Msimu uliopita alisema wakati anapanga kikosi chake (Kante akiwepo) ilikuwa ni sawa na kuwa na midfielders watatu - yaani Drink water katikati na Kante kulia na kushoto kwake.
Shida ni kuwa Ndidi na Mendy bado sana kufikia level ya Kante.
Midfield ninayoiheshimu msimu huu kwa EPL ni ya Wanyama-Dembele pekee.
Humble guy from humble beginnings...akiendelea hivi atafika mbali! To create a name with the likes of Claude Makelele.
mambo yakienda vizuri huyu bwana atachukua kombe msimu huu tena
Leo ndo mnaona hilo!? Bado hazard. Kipindi walipomhujumu Mourinho mliwasifu,sasa kuleni matapishi yenu. Na mtu akizoea kula nyama ya mtu tu hataacha,ataendelea tu!Costaaa anazingua sn ngoja tuone itakuaje cz hakuna mchezaj alie juu ya club
Ila costa kanisikitisha sana...inaonekana hana mapenzi kabisa na timu
Hao Sky sports na The Sun sio watu wa kuwaamini kihivyo especially kipindi hiki cha usajili , Conte , Cahill na Alonso walipohojiwa jana walisema Costa ana maumivu ya mgongo na tokea siku tatu nyuma kabla ya mechi ya jana alikuwa anafanya mazoezi peke yake na Costa mwenyewe kabla ya mechi alipost kwenye Instagram page yake kuwatakia ushindi timu,Costaaa anazingua sn ngoja tuone itakuaje cz hakuna mchezaj alie juu ya club