Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Nakubaliana na wewe 100%. Na huo mfumo umemsaidia hazardous Hazard. He's been relieved of defensive duties za wakati wa Mou. Sasa hivi yupo kama simba mbarara anapatrol kila kichaka [emoji23] [emoji23]Anthony Conte..... Alichomfanya Kwado Asamoh kule Juventus ndicho anachomfanya Victor Moses hapa Chelsea.......
Alonso na Moses wanacheza juu pembeni ya mabeki watatu wa kati.... Hapa Moses na Alonso wanazuia kwa wakati lakini pia wanashambulia kwa mipango ila pia wanajaza idadi kubwa ya viungo eneo la juu ya wale mabeki watatu wa nyuma...... Ina maana wanatengeneza mstari wa viungo wanne pamoja na wale wawili wa chini (kante na matic).
Kwado Asamoh alikuwa ni inside ten pace(%) ila alishifti mpaka kufika katika left full wing back na sasa Moses anashifti mpaka kwenye right full wing back..... Talent workability inafanya kazi yake
Kukaba ni kazi rahisi sana ila kushambulia ndio kazi ngumu sana..... Kwa sasa Moses anafanya kazi rahisi ya kukaba pia anafanya kazi ngumu ya kushambulia......
Kwa kazi hizi tutaendelea kumuona Victor Moses Kila wikiend kwenye line ups za Tony sababu ya uafrica wake kwanza(roho ngumu katika kukaba) na katika ubora wake (ubunifu katika kushambulia......
Tulikusahau kabisa asee kama tunavyomsahau obi na Mikel.......
Moja jion tukamchek kante mkuuMechi saa ngapi wadau
Kweliiii tunawapigaa 4 -0Leo tutaongoza ligi
mechi ya leo sio rahisi kiivyo ingawa najua vijana watapigana hadi tone la mwishoPrediction
Middlesbrough 0
Chelsea 2
Ngumu lakini ni must tushindemechi ya leo sio rahisi kiivyo ingawa najua vijana watapigana hadi tone la mwisho
haha hawa jamaa walimkomalia man city na arsenal yasije yakajirudiaNgumu lakini ni must tushinde
mechi ya leo sio rahisi kiivyo ingawa najua vijana watapigana hadi tone la mwisho
kumbe na wewe umeliona hawa jamaa watapaki bus kibaya zaidi willian hayupo benchiBoro lazima wapaki bus they have strong defensive mentality....lazima Hazard na Willian waanze pamoja ili wawaforce kufunguka
sahihi kabisa mkuu,tukikaa pale juu leo nitafurahi sanaNi kweli kabisa mechi ngumu, ila hapo ndipo ninapoona ushindi maana naamini wachezaji wamejiandaa vizuri.
Goli la mapema muhimu sana ili kuvuruga mipango yao.
mkuu ina maana tumempoteza willianAnthony Conte..... Alichomfanya Kwado Asamoh kule Juventus ndicho anachomfanya Victor Moses hapa Chelsea.......
Alonso na Moses wanacheza juu pembeni ya mabeki watatu wa kati.... Hapa Moses na Alonso wanazuia kwa wakati lakini pia wanashambulia kwa mipango ila pia wanajaza idadi kubwa ya viungo eneo la juu ya wale mabeki watatu wa nyuma...... Ina maana wanatengeneza mstari wa viungo wanne pamoja na wale wawili wa chini (kante na matic).
Kwado Asamoh alikuwa ni inside ten pace(%) ila alishifti mpaka kufika katika left full wing back na sasa Moses anashifti mpaka kwenye right full wing back..... Talent workability inafanya kazi yake
Kukaba ni kazi rahisi sana ila kushambulia ndio kazi ngumu sana..... Kwa sasa Moses anafanya kazi rahisi ya kukaba pia anafanya kazi ngumu ya kushambulia......
Kwa kazi hizi tutaendelea kumuona Victor Moses Kila wikiend kwenye line ups za Tony sababu ya uafrica wake kwanza(roho ngumu katika kukaba) na katika ubora wake (ubunifu katika kushambulia......
Tulikusahau kabisa asee kama tunavyomsahau obi na Mikel.......
Ooops kumbe upo khe kh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi chana usikimbie tu magoli yapo hapo .... .... .... .. Ding ... Dong.Let the game begin....Middlesbrough wanaanzisha mpira.