Utabiri ako umetokea hongera mkuu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]maombi yangu kwa mechi ya man u vs arsenal watoke droo ili kuongeza gap kubwa kati yao na sisi.
Huku na sie ktk mechi 8 zilizobaki tukipata point 20 out of 24 itakuwa njema kumaintain nafasi yetu, mechi zitakazo tupa shida hata tuwe wazuri vipi ni ya man city na toten hawa jamaa huwa wanatusumbua sana
Tunaenda kuchukua point zetu 3 kwa Shida sana
Prediction
Middlesbrough 0
Chelsea 2
Nishabeti na nimempa ushindi chelsea nimeweka 20, 000Mzee wa kumfumua muhindi naona unajaribu na leo....
Zikizidi sio mbayaPrediction: Boro 0 - 3 Chelsea
Nishabeti na nimempa ushindi chelsea nimeweka 20, 000