Naumia sana kwenye form hii tayari tumeshacheza na arsenal na liver tukachezea why ? Hawa tungekutana nao sasa ivi uwiiii
Kombe linazidi kupakwa rangi ya Bluu.1. Chelsea have joined the party as five teams chase title glory
It was a performance that was worthy of champions, and there is little doubt Chelsea's 5-0 spanking of Everton suggests they are in this for the long haul.
After Manchester City carelessly spilled points in their 1-1 draw with Middlesbrough at the Etihad, Chelsea cashed in by setting about sixth-placed Everton with a devastating display of power and pace that left the visiting side happy to escape from Stamford Bridge shipping only five. It could have been a lot worse.
mkuu nitake radhiwewe utakuWa....ule upandeView attachment 429873
Sasa tunamfuata middlesbrough kwao tarehe 19
Baada ya hapo ni kidume kingine tottenham kinatakiwa kije stamford bridge
Mi namtaka guardiola hiyo december 3.... Nimuonyeshe kuwa epl sio mahali pa spot spot
Chelsea vs Everton 5/11/2016
kwa hiyo hata tungecheza bila goli kipa, bado wasingetufunga .............
Arse888 na loserfools mungu wao mkubwa sana. wanashukuru walikutana na sisi kabla gari halijawaka.
Mdogo mdogo tu, mmoja baada ya mwingine....Ushindi wa jana umepita sasa ni kuangalia jinsi ya kuikabili Boro baada ya International break.
Naamini tutafika tu
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
walishinda 6...je walikuwa na clean sheet?Hivi uingereza kuna timu ya hatari kama liver kwa sasa? Kuonyesha yeye kiboko baada ya Chelsea kushinda tano wao wakashinda sita