Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntunzu na ENZO wapo taaabani angalau watoke Draw, ENZO yupo taaaban bora tizama game za zamani tu jifutahishe kama ulivyoweka result zako hapo na Arsenal.
 
Msumali wa moto mnaokalia leo kutoka kwa arsenal mtasimulia maumivu yake kesho ninyi Chelsea.. Asante Klopp leo umetukuna
 
Maskini hawa watu Morinho kawaaachia Laaana ya kuweka basi nyuma na timu kubwa hehehheh!.
 
Napita tu ndugu zangu kuwapa pole na kuwakaribisha EPL karibu conte hahha tafuta tu dawa za usingizi EPL utakesha sana.
 
Ila Cahill anastahili kabisa...kabisa..,kukaa benchi. Ni heri Ivanovic acheze central defender.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…