Miazga anapelekwa kwa mkopo ujerumani hukosijui wanahaha nini na Lukaku, agriiiiii#&#@............ inatakiwa beki ya kati moja au mbili zilizokula mavi. Halafu beki y kati mbona naona Miazga mzuri tu lakini hapewi chance.
yeye ni winga, tuna winga mmoja tu ambaye hawezi kuwa replaced na Mahrez naye ni Hazard. Kwa kiwango cha Mahrez lazima ataanza winga ya kulia ama kushoto wakibadilishana na Hazard. Quadrado na Pedro watakuwa na wakati mgumu sana kujihakikishia number mbele ya Mahrez unless mmoja aondoke kabla ya dirisha kufungwa!!Hivi mahrez anakuja kucheza namba ya nani
Nafikiri tunaitaji mabeki 2 kabla dirisha halijafungwayeye ni winga, tuna winga mmoja tu ambaye hawezi kuwa replaced na Mahrez naye ni Hazard. Kwa kiwango cha Mahrez lazima ataanza winga ya kulia ama kushoto wakibadilishana na Hazard. Quadrado na Pedro watakuwa na wakati mgumu sana kujihakikishia number mbele ya Mahrez unless mmoja aondoke kabla ya dirisha kufungwa!!
safi sanaaaaaa namhusudu sana huyo jamaa, ............ akuje tu tuuze Pedro.Let us keep our fingers crossed - He might land at Bridge!!!
Leicester City transfer rumours: Mahrez, Chelsea and the mystery agent at a West End hotel
huwezi ukawa sawa!" huyo sio wakumreplace Hazard, labda ungeniambia wilian, ............. kwa maoni yangu japokua wilian alikua na msimu mzuri mwaka jana" lakin wilian kw mahrez anasubiri sana. to me Wilian will be my 3rd choice.yeye ni winga, tuna winga mmoja tu ambaye hawezi kuwa replaced na Mahrez naye ni Hazard. Kwa kiwango cha Mahrez lazima ataanza winga ya kulia ama kushoto wakibadilishana na Hazard. Quadrado na Pedro watakuwa na wakati mgumu sana kujihakikishia number mbele ya Mahrez unless mmoja aondoke kabla ya dirisha kufungwa!!
tatizo la chelsea ni beki, na tulikuwa tunahitaji kiungo mshambuliaji kwani cesc mwisho wa msimu huwa anachoka . tumepata kiungo kante, na mshambuliaji baltshuay. lakini conte asiposajiri back line tutakuwa tunafungwa kila mechi
Naunga mkono..tutengeneze group la chelsea la WhatsApp
grupu la nini sasa, si uwanja upo hapa?tutengeneze group la chelsea la WhatsApp