Inabidi Tumlete Tanzania pale Muhimbili akifanyiwa operation ya mguu badala ya kichwa akili zitamkaa sawa...lol
Anzeni na huyu Costa ze mcheza mieleka-rugby.Labda TUANZe na ww
Shimboni shanu kunu lanye!
vara ukuta
Hiyondio imeonesha kuwa mpira haukuvuka line.Mourinho ata-blame the Goal line Technology kama Chelsea wakishindwa kushinda.
Weka kichinjio tayari kesho unawapa haki yao CCM.Chelsea ni kama CCM.