nafasi nne za juu zina wenyewe
hahahaha huo ubingwa wa kwenye karatasi labda. hivi mtafika hata nafasi ya nne kweli?Ulikua wapi kusema hili ambalo ndio kubwa kwako ukaanza kwa kuzunguka weeeeee km kimbunga......
Sisi tunachukua ubingwa wa epl msimu huu tena achilia mbali hizo nafasi za top four ambazo ni zenu nyie vibonde.
hahahaha huo ubingwa wa kwenye karatasi labda. hivi mtafika hata nafasi ya nne kweli?
man united sio kibonde wewe
ligi bado mbichi hii. kombe msahauTeh teh teh sio nafasi ya 4 sisi tutachukua kombe msimu huu
Man u ni kibonde tu
ligi bado mbichi hii. kombe msahau
tukikutana lazima tuwafunge
ila kwenu imeshakuwa ngumu kuwafunga aston villa mnaongea hivi"Ligi bado mbichi" haya ni maneno unayasema mwenyewe alafu tena unakuja kusema kombe msahau.... Vipi Bwana au ligi sio mbichi?
Nyie ni vibonde na hamuwezi kutufunga ata iweje
ila kwenu imeshakuwa ngumu kuwafunga aston villa mnaongea hivi
msimu huu hunifungi hata mechi moja
endelea na msimamo wako hivyo hivyo.Siku zote nimekua na msimamo imara juu ya timu yangu na hua naongea hivi hivi iwe nimefungwa au nimeshinda. Matokeo ya Jana hayanifanyi niongee huvii.
Km ligi bado ni mbichi kwa kauli yako kwanini iwe ngumu kwangu? Unaota Mkuu?
Ivi LvG aliwahi kumfunga Mourinho lini?
Mourinho alikataa kufungwa na Brendan Rodgers mpk Lfc wamemtimua na tumesema no kufungwa na LvG na hatotufunga.... Labda mlete Babu Alex lkn Yule mzee wa jina la kike Lucy van Girl hatufungi kodooo.
endelea na msimamo wako hivyo hivyo.
kama LVG hajawahi kumfunga mourinho basi msimu atafungwa tu. we jiandae kwa kipigo.
hahahaha usijali mkuu.Uwage basi unagonga na like mukulu.
Nitafungwa na Soton na city lkn Mwanitesa Utd katu sikubali.
hahahaha usijali mkuu.
kwahiyo uko mko radhi mfungwe na hao ila sio na man united.
Yap yap Mkuu tena km twakutana na mwanitesa? Yani ile hali ya kupambana inapanda sn.
hahahahahaa hatutakubali just wait and see
poa poa mkuu.Okay we will see by then.
Pamoja sn Mkuu.
Timu maiti zimeanza kuwekewa drip imekuwa shida. Newcastle pia wanauhakika wa kuchukua "kombe" msimu huu.Teh teh teh sio nafasi ya 4 sisi tutachukua kombe msimu huu
Man u ni kibonde tu
...and off to Kiev...