Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jose Mourinho says he will still be Chelsea manager, even if the defending Premier League champions finish mid-table.

Chelsea enter Saturday's match at home to Aston Villa 16th after four defeats in their opening eight games.

Asked if he would still be in charge if Chelsea finish in mid-table, Mourinho said "Yes", before he added: "No. I was not told that because we don't expect to finish mid-table."

Chelsea have dispensed with numerous managers, often when Champions League qualification was in doubt.

Link Chelsea manager Jose Mourinho insists he won't be sacked | Football News | Sky Sports

Aston Villa msituangushe kesho!
 

Kukata rufaa hakuna maana kua hiyo ni pesa nyingi kwake kwamba hawezi kulipa..... Hiyo ni haki yake kufanya hivyo na uwaambie hao FA km rufaa yake haitopita basi hicho kiwango wakiongeze kifike ata £500,000/=
 

Kawakata midomo maana mnachosubiri muone José katimuliwa..... Sasa haondoki sasa ata km atakua nafasi ya16
 
Begovic golini.

Walinzi Azpilicueta Terry Zouma Baba.

Wakata Umeme Ramires Ruben.

Attackers Willian Faby Pedro.

Striker Costa
 
Mwamuzi mpaka muda huu anaonesha kuibeba Chelsea.

Chelsea walipaswa kuwa na kadi njano zisizopungua 4 mpaka half time. Ramires foul, Willian kujirusha na kujigaragaza(simulation), Pedro Foul, Costa kujitupa na kujigaragaza(simulation) kuomba penalty.

Bao walilofunga ni zuri, kosa la beki wa Villa na Speed ya Willian na kutokuwa mchoyo ndio imezaa bao.

Bado kiwango cha mpira cha Chelsea kiko duni na hovyo, wanatumia msuli na mwili zaidi.
 
Kawakata midomo maana mnachosubiri muone José katimuliwa..... Sasa haondoki sasa ata km atakua nafasi ya16
Vipi ubingwa huutaki tena?

Au unataka angalau nafasi ya Europa league?
 


Una umwa wewe nanda katafute matibabu kwanza and then urudi tena
 
Una umwa wewe nanda katafute matibabu kwanza and then urudi tena
A sad day, the best team lost today and Chelsea won.

Lakini nimefurahi kidogo, Man City na Man United zimesema "mind the gap."

Mmepewa matumaini wiki hii, wiki kesho mnarudi kujificha na kuuguza maumivu.

Leo furahini.
 
naomba kujulishwa kikosi cha leo na sub zake. sikupata nafasi ya kuangalia game la leo nilikuwa busy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…