tusipokuwa makini tutakuwa Man U
Na La 3 hiloooo daaaa inauma sana ila bado kuna watu wanamtetea Mo
Inabidi mwongeze umakini zaidi, kama mnataka kuwa kama #ManUnited
Labda sijakuelewa unamaanisha nini? Mnataka kuwa kwenye nafasi ya pili au kwanza? Au mnataka kuwa na vikombe 20 vya EPL?!?
Halafu Maureen kadata...yaani kamtoa Matic aliyemwingiza tu kipindi cha pili 😳😳😳
unafanya mchezo na GRAZIANO PELLE[pronounced pela]......!
Hii mechi tushashinda...sasa tushinde hapa kufanya nini?