Hiyo kidogo mrudishie aiseeeeee...... Njoo uchukue kwangu USD billions 90... Hiyo inamzidi ata Yule muzeee ya Microsoft na ile Donald Trumph
Hahahah weka hela mezani tuandikishiane .......
Kwendraaaaaa!!!! Duhhh !!! Haya siyo mapenzi ni Mahaba ushanigeuka fasta na ulikuwa mshengaaa....lol
Bring back our avatar
Bring back our avatar
Bring back my husband........
Cahill akicheza kama aliyocheza jana..am sure kina Giroud na Sanchez lazima watafute route nyingine ya kufunga!!!
Against Arsenal I would prefer this line up:
Goal Keeper: Asmir Begovic;
Defenders: Cesar Azpilicueta, Garry Cahill, John Terry (C), Baba Rahman;
Mid fielders: Nemanja Matic, Cesc Fabregas;
Forwards: Hazard, Oscar, Willian (Mungu saidia apone haraka);
Striker: Diego Costa.
On the bech (substitutions):
Goal Keeper: Jamal Blackman;
Defenders: Branislav Ivanovic, Kurt Zouma;
Midfielders: Ramires, Loftus Cheek, Kennedy;
Forwards: Remy, Radamel Falcao.
Bring back my husband........
Hongereni kwa ushindi WANAUME WA THE BLUUUUUUUUZ. Root hongera sana nazani kilo zimerudi kalou hongera jaman jana nililala mapema ulivyoniambia nilale hamna kigodoro, Mentor hongera mkuu maana umerudi rasmi kwenye hali yako ya kawaida baada ya ushindi, Ntuzu hongera kwa ushindi baba bila shaka hospital washakuruhusu kutokana na hali yako kuwa nzuri ghafla, ENZO hongera sana kwa ushind najiandaa kisaikolojia maana najua utaanza iponda man u rasmi.
Hongereni woteeee.
We keep the blue flag flyng high because Chelsea will never die.