Mmeanza kulia lia. Terry alikuwa mchezaji wa mwisho, alimzuia jamaa yule nafasi ya wazi ya kutundika bao safi.
Mwamuzi aliwabeba kwa kumwacha Matic amalize mchezo leo.
Leo sio " a fake result".
Mr. Mind the gap! atapata nguvu na atakuja hapa kutoa maelezo.
Hongereni sana the Bluuuuuz naona ligi imeanza......
Cc Ntuzu MEANDU Mentor leo najua utafufuka na vikatuni vyako ENZO soma kwanza uache kelele Kituko leo usiwe Kituko b5-click njoo dear leo mambo swafiii the say leo usiongee sana Manumbu kesho ulete uchambuzi mzuri kalou duhh!! Leo sichezi kigodoro nimeumia sana ila nakukubali wewe ni die hard fan Kungurumjanja aliendaga wapi? Bantulady ujage na huku basi siyo Yanga tu, Root leo najua hatukohoi Mazigazi nakuona leo umefufuka karibu sana na #AllTheblues big up.......
Terry na Iva wapumzike sasa

The blue fan iam new here
Wadau deal ya pogba imekaaje
Link The SunPogba ameonekana Heathrow asubuhi leo. Mambo yanakwiva.
karibuni sana wadau kwenye chama kubwa!' ........... nyie ndio mnajua kitu kizuri.The blue fan iam new here
Nami ni wa imani hii wajameni
The blue fan iam new here
Nami ni wa imani hii wajameni
Na wewe ni mpenzi wa karate, Marshall art, na mieleka?Nami ni wa imani hii wajameni
Wadau deal ya pogba imekaaje