Subiri kipigo cha West Brom sasa, ili uamke vizuri zaidi. Kile Kipigo cha "fake result" umeshakisahau?
Mou amrudishe Dr. Mrembo ili hizi judo na mieleka masters ziweze kupata mori ya kuziona nyavu.
Safari hii ni zamu ya "vishabiki" kinyonga vya Chelsea (mashabiki wa msimu wa mafanikio tu) kuchonga na kuuguza maumivu.Teh teh teh that was really fake result coz I don't think if we have lost a thing while we got 35 games in our hands and we are going to be a champion again!
Km tungepoteza huo mchezo tukiwa tumesalia game moja ligi iishe hapo ingekuwa shida.......
Mtachonga sn safari......
PhD 
Hatuhitaji huduma Yake tena huyo mrembo na aende tu huko kwenu sisi hatuhitaji mori za kina mama!
Unajifanya bikizee mwenye busara 😂 😂 😂 umeua duuuh
cc Mamito ya Ntuzu jf.(Everl....)
Namuangalia tu anavyojishaua.......
Umekuwa domo-kaya kama Mou.Hatuhitaji huduma Yake tena huyo mrembo na aende tu huko kwenu sisi hatuhitaji mori za kina mama!
Ujifunze matumizi sahihi ya mudomo na ulimi, sio yakutoke tu.:biggrin1::biggrin1:
Ujifunze matumizi sahihi ya mudomo na ulimi, sio yakutoke tu.:biggrin1::biggrin1:
Umekuwa domo-kaya kama Mou.