Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Mimi sina ndio maana nawaomba muilete ili kigodoro kiendelee........


Wera weraaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hiyo sina mkuu ila kwa bahati nzuri ninayo hii

Hahahahaaaaaa naona Leo mmmmmmh.

Ila gunners wenyewe hawajiamini wametulia kwao kwetu huku wanaogopa coz wanajua wamebahatisha!
 
Hahahahaaaaaa naona Leo mmmmmmh.

Ila gunners wenyewe hawajiamini wametulia kwao kwetu huku wanaogopa coz wanajua wamebahatisha!

Tunawawakilisha maana tulipofungwa PSG hata hawakushinda jukwaani kwetu Bali Chelsea waligeuka kuwa PSG.......
 
Ndo Chelsea wajue kuwa kufungwa na vitimu vidogo ni hasara.. ona wanavyofurahia kama wameshinda EPL.. Kikombe chenyewe hata si kizuri
 
everlenk sisi hizi sijui nini sisi hazituumizi kabisa sisi tunangoja season mpya
 

Attachments

  • 1438597811830.jpg
    24.7 KB · Views: 64
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…