Lakini sio kwa magoli manne.
Yaani la kwanza timbwliiii wametulia tuu la pili tena la tatu tena na la mwisho timbwliiiii.
Na ni vile muda uliisha leo wangegeuka ase8
Mamy tutapigwaa twende tuondoke tukae mbali tufanye kuchunguliaaa
Preseason mama haiumiiii..........lol
Hahahaha Hazardiiiiiiiiiii where was he...........Costa je?.......
Hahahahaaaa mimi sijasema.
Jana kulikuwa na mechi ya kombe gani?
Hujui eeeh?? Haya bana kama hujui.....
Najua ligi haijaanza, au zile za mazoezi ndo zinawatia wazimu..
If its not blue, it will
Champions 2014-2015
Najua ligi haijaanza, au zile za mazoezi ndo zinawatia wazimu..
If its not blue, it will
Champions 2014-2015
Hahahaa the bluuuzzz.
Si unaona waheshimiwa wenyew wamepata wazimu.
Kweli wewe pacha umejibu nilichokijibu?
Mou atahakikisha anawatoa kwenye top four waingie Liverpool
Eeeehhhh!!! Preseason haiumiiiii......
Sio kwa kipigo kile mbka yule msmamizi wa mazoezi moureen ananuna
mtaongea yote leo!' kweli nimeamini chelsea ni homa ya jiji, kufungwa tu kwenye pre-season imekua sherehe!' kwa kufungwa tumepoteza point ngapi?!' ............
Hahahaaa noumaaaaa
mtaongea yote leo!' kweli nimeamini chelsea ni homa ya jiji, kufungwa tu kwenye pre-season imekua sherehe!' kwa kufungwa tumepoteza point ngapi?!' ............